This is University of Dar es Salam bwana,its challenges towards brighter education!

This is University of Dar es Salam bwana,its challenges towards brighter education!

Naomba niseme/niulize haya;
kwanza,je hivi imeshathibitika kuwa mtoa mada ni mwanafunzi wa UDSM?Naona ni kama wachangiaji wameshaconclude hivyo!Je itakuwaje kama mleta mada ni mfanyakazi wa hapo chuo,au ni mtoto/ndugu wa mfanyakaz au akawa ni mtu alyesimuliwa matatizo hayo na mwanachuo.Mi nadhani haya pia yanawezekana,tusikazanie tu kuwa mleta hoja ni mwanachuo mpaka hapo utakapopatkana uhakika.

Mwaky,

I hope huyu si mwanafunzi bali ni mtu wa karibu tu hapo chuoni.

Post yangu ya kwanza nilisema hivi

Huyu ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu anaandika hivi? Kama ni hivyo tuna matatizo mengi makubwa zaidi ya yaliyotajwa hapo.

Maendelezo yalikuja baada ya watu kuuliza kwa nini nimesema hivyo, kwa hiyo katika kuelezea ndiyo tukaingia huko kwenye kusema kwamba kama huyu ni mwanafunzi basi kuna tatizo lingine kubwa

Pili,kama kwel ni mwanachuo.Hv itakuwa sahihi kwel kitaalamu kugeneralize kuwa wanachuo wa udsm wapo hivyo just kwa kurefer kitu kilichofanywa na mmoja wao(only)!Ni kvp ntaweza kusema kuwa yeye n mfano halisi wa wengne?Hili nadhani si sawa,au ndo ule usemi wa samak mmoja akioza?.

Tatizo siyo kwamba tuna generalize kwamba mwanachuo mmoja akiwa hivyo wote wako hivyo (ingawa kuna wachangiaji wengi tu wanaopajua UDSM vizuri kuliko mimi wameonyesha kuchangia hivyo).Tatizo ni kwamba mwanafunzi yeyote wa Chuo Kikuu hatakiwi kuandika kama hivyo, kwamba the bare minimum standards za kuandika kwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu zinatakiwa ziwe waaaay above that.

Nikiangalia tena ile post naona inawezekana kuna masuala mengine mazito zaidi ya elimu na kujieleza peke yake, inawezekana mtu ana dyslexia na huko nyumbani hatufuatilii mambo kama hayo, au inawezekana mtu ndiyo kwanza anaijua QWERTY, au kulikuwa na msururu nyuma unamsubiri amalize kutumia computer.Kwa sababu hizo typo si mchezo.Sasa kwangu mimi if you wanna do something do it nicely or don't do it at all.

Tatu,mi nadhani mleta hoja alikuwa na nia ya kuleta taarifa/kupasha habari na pia kupata mchango wa watu wengne wanalionaje,sidhani kama alikuwa anatakiwa kuandaa kama hotuba!Ilikuwa ni suala la kuandka kwa namna ambayo anaona yeye inafaa na itaeleweka.Pia humu JF kuna watu mchanganyko hvyo cdhan kama kuna std mtu anatakiwa afikie ktk kuandka

Sikutaka aandae hotuba ya kusomwa United Nations na rais, nilitaka aamue anataka kuandika kiswahili au kiingereza, au hata kama anachanganya lugha, sawa, tunachanganya wote hapa, achanganye vizuri basi, sio mtu anachanganya kwa mikogo halafu vitu redundant, hamna form, typos kibao yaani kitu hakijakaa sawa unaweza hata usielewe anasema nini.

Wengi tunafikiri kinachosemwa na kinavyosemwa ni vitu viwili tofauti wakati ukweli wa mambo ni kuwa kinavyosemwa ni sehemu ya kinachosemwa.

The irony is, I recognized the cry for better education and better funds in the poor language, and pointed that out.Sasa watu badala ya kuelewa hilo na kushughulikia swala muhimu, ambalo ni kuchangia jinsi gani tutatatua tatizo mama la elimu na tatizo linalojitokeza hapa immediately la resources, wananion mimi kama vile niko katika process ya "blaming the victim"

Far from it, I am not trying to be an aristocratic Sadduccee, I am indicting the Tanzanian educational system and frankly the complacency displayed here is nothing funny, to the contrary some of the enabling comments and basement bottom wholesale nonchalance is simply shocking.
 
Last edited:

Suki vipi tena!
Umekusudia kutuacha wengine njiani nini? Wengine huko UDSM tunapasikia tu.

.

Same here...improvising.
But what is it you can't grasp?Matatizo ya wanafunzi au matumizi ya bajeti ninayoulizia?
 
It demands not,a language guru to realize pasipo na maji hapana wavuvi.
Hali ya maisha ya wanafunzi wa UD inasikitisha and needs taken seriously.Hivi,viongozi wetu,(Kikwete to be precise) wanaposema kuwa asilimia kubwa ya bajeti ya nchi ya miaka mitatu iliyopita,ilitumika kuinua elimu Tanzania,vitu kama hivi vinakuwa included au?

Hata hivyo,critiquing a presentation mechanism is a crucial starting point in analyzing the proposed theme and not necessarily a contumacious act as it has been perceived here.

Suki vipi tena!
Umekusudia kutuacha wengine njiani nini? Wengine huko UDSM tunapasikia tu.

The saga continues, see what I mean?

Same here...improvising.
But what is it you can't grasp?Matatizo ya wanafunzi au matumizi ya bajeti ninayoulizia?

Hiyo paragraph ya mwisho nimetoka kapa ndugu. You must be a lawyer or something.

.
 
Wewe unaona presentation iliyyotumiwa hapo, kuanzia spelling, lugha, tense, redundancy and all ni ya level ya Chuo Kikuu?

Mtu anayeshindwa kujieleza kwa ufasaha - kuandika kwa level ya chini ya ile inayotakiwa shule ya msingi- ananipa mashaka kama kweli anajua alichoandika.

Halafu anashindwa kujiudhuru kwamba hajui kiingereza, na kuamua kutumia Kiswahili, ambacho nacho probably hakijui vizuri lakini angekuwa na afadhali- sijui ni katika kujitutumua kujionyesha nshomile?

I could dissect the post and find many problems that would worry me more than the problems identified in the content of the post.

Fundamentally speaking, he described resources and logistics problems, which can easily be tackled with funds - hata Watanzania wenye uwezo wakiamua kuchanga kujenga mabweni na ku supply maji wanaweza kufanya hivyo- tatizo kubwa kuliko hilo ni kwamba huyu kijana wa Chuo Kikuu anaandika katika lugha iliyo katika level ya mtoto wa darasa la tano, tena siyo yule mjuzi kabisa kati ya hao basi.Huyu mtu mwingine anaweza kusema muda wake wa kumsaidia unaweza kuwa umepita.

Na kafika Chuo Kikuu.

No wonder tuna Vikwete, wametoka hapo hapo.Halafu leo tunashangaa tuna rais mchumi lakini "kilaza".

1.Good criticism,Hope u know much better than I
2.Nowhere in the thread I have introduced myself as UDSM student!
3.Its better if u post those mistakes I made to correct myself not to do mistakes any more!
4.Ill be very grateful if u make distinction(s) between presentation ya std 5 pupil and of university student.
5.I would like to know what have you done to improve Tanzanian education up to this very moment and on my thread what are your comments on main theme far from standard 5 mode of presentation I have used.
 
Napenda kuchangia kama ifuatavyo:

Matatizo ya UDSM yamegawanyika katika katika sehemu kuu nne. Kwanza ni tatizo la kiwango cha elimu, pili ni miundombinu, tatu ni fikra za walimu, nne ni fikra za Wanafunzi.

Tukianza na Tatizo la miundombinu ambayo ni madara, vyumba vya mihadhara, vyumba vya kulala pamoja na vyumba vya kulia chakula. Kwa kweli vitu vyote hivyo havilingani na idadi ya wanafunzi waliopo sasa. Chuo hiki kilijengwa zamani na hakuna juhudi za makusudi kukarabati majengo na kuongeza mapya ili kuendana na idadi ya wanafunzi walipo. Cha ajabu maeneo yake ndo yanauzwa sasa na kugeuza vitegauchumi ambavyo havisaidii kuinuia kiwango cha elimu. Serikali inajisifia tu kuongeza idadi ya wanafunzi lakini ongezeko hili haliendani na upanuzi wa miundombinu muhimu niliyoitaja hapo juu. Hili swala linachukuliwa zaidi ki siasa kwani CCM na serikali yake wanataka kujisifia tu kuwa idadi ya wanafunzi chuo kikuu imeongezeka, bila kujali kiwango cha elimu. Kwa mfano ni jambo la kawaida kabisa kukuta wanafunzi wanasikiliza lecture wakiwa madirishani kwa nje. Wengine wanasikiliza mbali kabisa wakiwa barabarani kwa msaada wa vipaza sauti. Kwa kiasi kikubwa inashusha kiwango cha elimu. Vyumba vya kulala sina haja ya kueleza.

Tatizo la Fikra za wanafunzi
Pamoja na mabadiliko makubwa ya kisera, kitekinolojia na kijamii, fikra za wanafunzi zimebaki kuwa ni zile za miaka ya 70. Wanafunzi wa leo wa chuo kikuu wanatakiwa wafikirie tofauti. Kwa mfano si lazima kwa mwanafunzi aishi kwenye campus ya chuo. Tuliosoma nje tunajua. Lakini kila mwanafunzi wa UDSM anataka kuishi campus tu. Nakubali kuwa kuna tatizo la usafiri na foleni dar lakini pia hata sisi tunaofanya kazi tuna mudu kuwahi saa 2 ofisini tukitokea mabagala, tabata mbezi beach n.k. Hata wafanyakazi wengi wa chuo hawakai chuo. Ni lazima wanafunzi wakubali hali halisi na wasing'ang'anie kuishi chuo au mabibo. Mimi nilikuwa naishi km kama 30 hivi kutoka chuo, nilikuwa naandaa lunch nyumbani na kubeba kwenda nayo shule. Lakini UDSM sijawahi kuona mwanafunzi anabeba lunch kwenye container. Ni sababu ya fikra tu.

Nilifanya undergraduate UDSM mwishoni mwa miaka ya 90. Nilikuwa nafanya masomo ya sayansi. wakati tunaingia sisi ndo tulikuta masomo ya communication skill yameondolewa kwa wanafunzi wa sayansi na Engineering. Masomo hayo yaliondolewa baada ya mgomo kuwa eti hawataki kusoma "ungwini". Kwao walifikiri engineering au sayansi haihitaji communication skills. Matokeo yake ndo hayo matatizo ya kuandika na kujieleza tuliyonayo. Katika dunia ya utandawazi communication skills ni muhimu sana. Maana hata kama ni engineer inatakiwa ukafanye presentation an kuandika paper mbalimbali ili watu wajue utalaamu wako. Mpaka leo masomo hayo hayajarudishwa. Masomo hayo yanatakiwa yarudishwe haraka na tena kwa msisitizo.

Fikra za walimu.
Pamoja na kukua kwa technolojia walimu wengi wa UDSM bado wanatumia chaki na ubao kufundishia. Yaani akijitahidi sana atakuwa na slides za transparent sheets zile za kumulika na tochi. Kwa kiwango cha sasa cha tekinolojia ni vyema walimu na chuo kwa ujumla wakatumia nyenzo za kisasa kufundishia. Kwa mfano wanaweza kutumia web based virtual classrooms kama blackboard software, wakawa na online discusions, video lectures, power point slides na audio lectures. Ili wanafunzi waweze kudownload na kusoma/ kusikiliza au kutazama lecture kwenye computers zao za Pentium 4 zinazouzwa pale East Africa computers shs 100,000. Hii itawawezesha wanafunzi ku collaborate na walimu wao na hivyo kuongeza kiwango cha elimu.

Vile vile mitaala ya chuo ni ya siku nyingi na haiendani na wakati. Utakuta mwalimu anafundisha kwa notice alizo ziandaa mwaka 1980 anazing'ang'ania hadi leo. Mitaala inawafanya wanafunzi wasome vitu vingi ambavyo siyo muhimu sana kwao na haviwasaidii katika kufanya kazi. Walimu wengi wanang'ang'ania kuwafundisha watu mambo mengi mengi. Kuna jamaa mmoja mzungu aliona transcript yangu akashangaa, nilikuwa nimefanya course 15 kwa mwaka na nilikuwa na course 40 kwa miaka 3. alishangaa ni vipi niliweza kusoma mambo yote hayo. Course nyingi zilikuwa ni za hesabu ambazo hata hazikuwa muhimu kwa masomo yangu.

Hivyo basi mambo yote haya nachangia kushuka kwa kiwango cha elimu. Na kama tusipogutuka mapema, tutaishia kujenga taifa na watu waliosoma lakini hawakuelimika.
 
Jamani mnavyojadili UDSM kuna +ves na -ves. na ni hatari ku "Generalize". Ukiwa na wanafunzi 100, unatarajia "normal curve" katika matokeo yao. kuna wanaofaulu vizuri sana na wanaofeli.
watu waliosoma UDSM wapo wataalamu wazuri sana na wengine ni wastani na kuna vilaza, ni kawaida kila mahari lakini ukweli ni kwamba UDSM pamoja na matatizo yaliyopo inatoa wataalam wazuri sana as compared to other institutions.
Discussions zilenge kuboresha. wote tunajua kuna tatizo katika kujieleza, hata mitaani tu ukiacha shule. nenda kwenye vijiwe ni tatizo kubwa. tuvumiliane jamani.
 
Mimi naamini kuna wanaojinuafaisha na hivi vyuo vya umma ni viongozi wa serikali yetu hii ya Bwana KIKWETE. kwani wanadai wanawasaidia wanafunzi masikini kusoma kumbe ndio wanawaongezea umasikini zaidi.Kwani kama mwanafunzi atakosa mahitaji muhimu anaweza kujiingiza kwenye mambo mabaya na yatakayomletea matatizo zaidi.Ni bora Serikali yetu iangalie zaidi suala la hawa manafunzi wetu.Maghembe naona ameshindwa kazi bora angeangalia jinsi ya kukaa pembeni awachie wengine wajaribu.
 
habari ambazo nimezipata dakika chache zilizopita ndugu wadau ni kwamba vijana hawa UDSM wanaandaa mgomo..bunge lao linajipanga kukutana jioni hii ili kuupitisha!
 
I do not intend to drag the post back to the linguistic and presentation debate, but when I am asked, I reply.

1.Good criticism,Hope u know much better than I
2.Nowhere in the thread I have introduced myself as UDSM student!
3.Its better if u post those mistakes I made to correct myself not to do mistakes any more!
4.Ill be very grateful if u make distinction(s) between presentation ya std 5 pupil and of university student.
5.I would like to know what have you done to improve Tanzanian education up to this very moment and on my thread what are your comments on main theme far from standard 5 mode of presentation I have used.

2. My original post was in the form of a question, the extrapolation came from the questions raised on my question which posited the argument in the frame of thought that you are a student.I noticed you evaded addressing the question, are you or are you not a student?

3. Although I am not trying to play kifimbocheza, I will devote a separate post to illustrate my point and grant your wish.

4. Check Standard 5 english books/ curriculum and University level english books/ curriculum

5.Although this question is completely immaterial, I am compelled to address it. I am helping several members of my family with the necessary finances needed to pursue higher learning.I also have a commitment to provide $ 1500 to unrelated Tanzanian rural young women in need of finances for education.I announced this program here and quite a few members are familiar with this program. From my position and due to my unfavorable logistics and meagre resources, apart from my musings here which I also count as contribution, this is the most of what I can do. But what if I wasn't doing any of these things, do I lose the right to point out that our Universities are producing mediocre students just because I am not contributing anything? Isn't that observation a contribution on it's own?
 
Ndiyo shida yetu watanzania. Tuna tabia ya kijificha kwenye matatizo badala ya kuyatatua. Sasa Pundit ameona tatizo ambalo ni la msingi kabisa, lakini badala ya kulitazama watu wameamua kumpachika kila aina ya majina: mjuaji, ana ringa, kipanga. Na hii ni tabia tuliyonayo sana katika jamii yetu, na ndiyo inatupelekea kuwa na watu wasio na uwezo katika system kwa sababu tunawaacha wale walio na uwezo kwa kuwaona wanaringa!!

Baada ya kusema hayo nisema tu kwamba siamini kwamba huyo aliyeandika hayo ni kiwakilishi kizuri cha uwezo wa wanafunzi wa UDSM. Kuna wanafunzi wengi tu ambao wanauwezo mzuri wa kujieleza kwa kuandika na kusema katika lugha zote mbili-Kiswahili na Kiingereza. Lakini tusilipuuze tatizo alilolionyesha Pundit; ni tatizo kama matatizo mengine na linahitaji kutatuliwa kama tunataka vijana wetu waweze kushindana katika ulimwengu wa leo wa soko huria. Vinginevyo tutaendelea kulalamika tu kuwa fulani wanatunyang'anya kazi!
 
By Calnde's personal demand, I am compelled to reluctantly play Kifimbocheza on a nitty gritty Planck scale.

No one doubt over importance of UDSM

Unaweza kusema

No one can doubt the importance of UDSM...

No one doubts the importance of UDSM...

There is no doubt over the importance of UDSM...

BUT NOT

No one doubt over importance of UDSM

A person cannot "doubt over" the importance of UDSM, a person can "have doubt over" the importance of UDSM.

On another level, this sentence is overly presumptuous.Obviously I entertain a lot of doubts over the importance of the UDSM, especially if it's students cannot construct simple and comprehensible English sentences. So beginning a sentence with "no one...", unless you are penning fiction is overly self-exposing

in biulding this nation,neither do I.

There is a dyslexic typo biulding instead of building, one can say it is just a typo. But also there is a logical redundancy bordering on a fallacy, If no one has doubt over the importance of the UDSM, then why do you feel the need to say "Neither do I". This exposes not only a grammatical/ spelling weakness which to some people can be more tolerable, but also an organizational messyness that is betrayed by this jumbled thought pattern.

Nowdays there are going stories around overt this university which some of them are true though many are exaggerated.

This sounds horribly like someone trying to say "Nowadays there are stories going around about this university, some true though many exaggerated..."

So the dyslexia is not only with letters in words, you also rearrange words in sentences.You have all the words but most are misplaced giving a jumbled sentence which is not clear, and people with no advantage of having English as a second language, and therefore the ability to reverse Engineer your sentence, may very well not understand what you are saying.

The sentences come across like those joke people make of White preachers and bad translators, you know what you want to say, you have your points, but putting down straight english sentences is a problem.You actually realize this and start to mix your english and swahili, when you do this your points become much clearer and you are actually intellectually convincing, this says you are not a dumb guy, after all you managed to get into University, this language problem is a national problem.So please understand that I am not belittling you personally, I am indicting our entire educational process for allowing a University student (I am goping with my previous line of thought since you did not dispute that, and this entire hullaballoo is based on that extrapolation) should be much better than that at expressing himself.
Hata hivyo still management under Mukandala imeprove failure to large extent.

1 Ulinzi kwa wanafunzi hasa wale international imekuwa issue.Siku za karibuni wamekuwa wakivamiwa mno.Pale wapo wanaoitwa auxilliary police though kwa kweli presence yao naweza kuifananisha as too ceremonial.Hawana dhana za kuwasaidia kiasi kwamba vibaka wanawazidi nguvu!.

Now when you actually realize that English is not your strong suit, you can communicate your points relevantly.

2 Maji yamekuwa yakikatika bila taarifa maalumu kwa siku nzima hasa ukizingatia kuwa Dar hii joto ndo nyumbani kwake!.

Hapa bado tunaona kuna tatizo la kujieleza hata katika Kiswahili, maji yanakatika kwa siku nzima hasa ukizingatia Dar hii joto ndiyo nyumbani kwake?

Una maana maji yanakatika ukizingatia dar ni joto? Una maana hii ni adha kubwa sana hasa ukizingatia Dar ni joto sana? Hiki kipande muhimu sana, the esence of your sentence, cha kusema "hii ni adha kubwa sana" hakipo katika sentensi yako.Kukosekana kwa kipande hiki kunauifanya sentensi yako ielee hewani. Tunaweza kuelewa tu kwa sababu tunaelewa hali halisi ya DAR na tunaweza kufanya fill in the gaps, lakini akija mtu ambaye haijui Dar na kwa hiyo labda hawezi kufanya fill in the gaps, anaweza kutoelewa unaongelea nini, unaongelea maji yanakatika ukizingatia joto, anaweza kufikiri joto ndiyo linasababisha maji kukatika.

3 Uongozi wa DARUSO umeingiliwa na management kiasi kwamba ni kama vile haupo!Imagine juzi umefanyika uchaguzi watu 1000 tuu over over 15,000 peple ndo wamevote!.

Ukiandika Kiswahili again unaeleweka vizuri kuliko kiingereza, with the occassional typos ambazo kila mtu anazo.

4 Miundo mbinu ni mibovu mno kiasi kwamba haiwezi kukidhi namba kubwa ya watu.Katika hili malazi yamekuwa issue kiasi kwamba kitanda cha mtu mmoja wanalala wawili.Hapa waderns ndo wanapatia ulaji maana first year wana wanaporipot after two weeks kama hawajalipia fedha za chumba wanauza tena kwa bei ya juu mno!.

waderns is not a word in either English or Swahili, I believe you are referring to wardens

Changamoto ni nyingi mno though kwa ufundishaji walimu wanajitahidi sana,this is call kwa wapenda elimu wote kutoa special attention ili kukinisuru hichi chuo.TOGETHER WE REACH THERE!

This is call is not grammatically correct, sounds like "Me love you long time", this is a call kwa wapenda elimu.... would be more like it.

The more central issue is you not realizing that english is not your strong suit and not opting strategically to use Swahili.I believe your post would have done more justice to the issues presented had it been presented in Swahili. But this may be a blessing in disguise in that it provides opportunities for correction and improvement so I would not discourage you from using English no matter how inadequate it may be, it is mostly through practise that we better our linguistic skills to an erudite lofty level of oratory and penmanship.

Just to put my pronounced passion and punditry parlaying on porous pompous puttering, persons of presidential privileges as well as perfectly practising populist pugilists parrotting pandemic politricks have had their heads slain, figuratively of course, on this very issue.

So don't take it personal.
 
Last edited:
duh, naomba nikuletee paper ya binti yangu uireview🙂
 
There are two people in this forum I would loooove to have a drink with, pundit and Nyani Mc Cain. The conversation will be priceless I am sure
 
By Calnde's personal demand, I am compelled to reluctantly play Kifimbocheza on a nitty gritty scale.

Unaweza kusema

No one can doubt the importance of UDSM...

No one doubts the importance of UDSM...

There is no doubt over the importance of UDSM...

BUT NOT

No one doubt over importance of UDSM

A person cannot "doubt over" the importance of UDSM, a person can "have doubt over" the importance of UDSM.

On another level, this sentence is overly presumptious.Obviously I entertain a lot of doubts over the importance of the UDSM, especially if it's students cannot construct simple and comprehensible English sentences. So beginning a sentence with "no one...", unless you are penning fiction is overly self-exposing

There is a dyslexic typo biulding instead of building, one can say it is just a typo. But also there is a logical redundancy bordering on a fallacy, If no one has doubt over the importance of the UDSM, then why do you feel the need to say "Neither do I". This exposes not only a grammatical/ spelling weakness which to some people can be more tolerable, but also an organizational messyness that is betrayed by this jumbled thought pattern.

This sounds horribly like someone trying to say "Nowadays there are stories going around about this university, some true though many exaggerated..."

So the dyslexia is not only with letters in words, you also rearrange words in sentences.You have all the words but most are misplaced giving a jumbled sentence which is not clear, and people with no advantage of having English as a second language, and therefore the ability to reverse Engineer your sentence, may very well not understand what you are saying.

The sentences come across like those joke people make of White preachers and bad translators, you know what you want to say, you have your points, but putting down straight english sentences is a problem.You actually realize this and start to mix your english and swahili, when you do this your points become much clearer and you are actually intellectually convincing, this says you are not a dumb guy, after all you managed to get into University, this language problem is a national problem.So please understand that I am not belittling you personally, I am indicting our entire educational process for allowing a University student (I am goping with my previous line of thought since you did not dispute that, and this entire hullaballoo is based on that extrapolation) should be much better than that at expressing himself.
Hata hivyo still management under Mukandala imeprove failure to large extent.

Now when you actually realize that English is not your strong suit, you can communicate your points relevantly.

Hapa bado tunaona kuna tatizo la kujieleza hata katika Kiswahili, maji yanakatika kwa siku nzima hasa ukizingatia Dar hii joto ndiyo nyumbani kwake?

Una maana maji yanakatika ukizingatia dar ni joto? Una maana hii ni adha kubwa sana hasa ukizingatia Dar ni joto sana? Hiki kipande muhimu sana, the esence of your sentence, cha kusema "hii ni adha kubwa sana" hakipo katika sentensi yako.Kukosekana kwa kipande hiki kunauifanya sentensi yako ielee hewani. Tunaweza kuelewa tu kwa sababu tunaelewa hali halisi ya DAR na tunaweza kufanya fill in the gaps, lakini akija mtu ambaye haijui Dar na kwa hiyo labda hawezi kufanya fill in the gaps, anaweza kutoelewa unaongelea nini, unaongelea maji yanakatika ukizingatia joto, anaweza kufikiri joto ndiyo linasababisha maji kukatika.

Ukiandika Kiswahili again unaeleweka vizuri kuliko kiingereza, with the occassional typos ambazo kila mtu anazo.

waderns is not a word in either English or Swahili, I believe you are referring to wardens

This is call is not grammatically correct, sounds like "Me love you long time", this is a call kwa wapenda elimu.... would be more like it.

The more central issue is you not realizing that english is not your strong suit and not opting strategically to use Swahili.I believe your post would have done more justice to the issues presented had it been presented in Swahili. But this may be a blessing in disguise in that it provides opportunities for correction and improvement so I would not discourage you from using English no matter how inadequate it may be, it is mostly through practise that we better our linguistic skills to an erudite lofty level of oratory and penmanship.

Just to put my pronounced passion and punditry parlaying on porous pompous puttering, persons of presidential privileges as well as perfectly practising populist pugilists parrotting pandemic politricks have had their heads slain, figuratively of course, on this very issue.

So don't take it personal.

Pundit, huyu kijana utamtia hofu ya kuchangia/kuanzisha mada hapa JF. Lakini nadhani ujumbe ameupata.
 
duh, naomba nikuletee paper ya binti yangu uireview🙂

You never cease to astonish me nowadays!
Anyways I dont think Pundit is doing any thing wrong!He is actually helping us improve our grammar and very poor and cheap vocabulary!
JF is a place to dare talk openly as well as getting the education probably you never had!
Pundit is only trying to broaden our minds na siyo kumtisha Thread Starter!
 
thubuthuuuuuuuu, hata kama hiyo tuition itakuwa ya bure!!!!!!

Nyani anang'ata?Ama wasiwasi wako mtoto atarudi nyumbani jioni na kitambi cha ghafla?
 
Back
Top Bottom