This is University of Dar es Salam bwana,its challenges towards brighter education!


Thank you Sir!(I guess not madam)This is what I expected instead of criticising without any authority.I understand your intention of correcting me to become perfect in this foreign language!You can have a look on every post I make for free criticism.
 
Huku kuzinguana sasa rafiki.


Hapana, sikuwa natania - but don't sweat over it.
Ili usinielewe vibaya, ngoja nikuonyeshe kilichonivutia humu jamvini,
My take on this won't suit your standpoint and I will first and foremost apologize if I will, at any point, sound offensive or show direct attack on you for, none of it is intended to be so.

Kuna mwingine atashindwa maana ya baadhi ya maneno hapo juu, ila bado ataweza kupata picha ya kinachosemwa.
Sehemu nyingine ambayo nilielewa na kufurahia kusoma ni hii hapa.


Kuhusu kwa nini nimedhani wewe ni mwanasheria, cheki PM.
Thanks!



.
 
Thank you Sir!(I guess not madam)This is what I expected instead of criticising without any authority.I understand your intention of correcting me to become perfect in this foreign language!You can have a look on every post I make for free criticism.


That is the spirit!





.
 

Huyu aliyeandika hapa lazima atakuwa mzungu!! siamini kwa mwafrika kuandika kiingereza kizuri na kigumu kama hiki, naamini waingereza wenyewe inabidi watembee na dictionary. Kama sio mzungu basi lazima atakuwa mtumwa mzoefu aliyekomaa na anayeringia kuwa mtumwa!! ,sasa amekuwa mnyampara wa lugha, kuwa kila mtumwa mdogo atakayekosea lugha basi yuko radhi kumkosoa, akitukuza na kudhihirisha kuwa yeye ni mtumwa aliyekomaa!

kasi tunayo! (siyo kazi)


waberoya
 
Huyo siyo mzungu wala mtumwa, ni Pundit tu.

Na kama unaona hiyo lugha ya ajabu sana labda wewe ndiye unayeenda polepole sana na si mimi ninayeenda kwa kasi sana.

Kama unaandika Kiingereza andika vizuri, kama unaandika Kiswahili andika vizuri, kama unafanya logical analysis fanya vizuri, usipofanya vizuri yeyote ana haki na wajibu wa kukosoa, ndiyo maana ya forum.

Ona hata wenyewe wanakosoana hapa

Ally Hassan Mwinyi, ambaye jina lake limetukuka katika ujuvi wa Kiswahili, alisema mwenyewe kwamba "Kiingereza ndiyo Kiswahili cha dunia" sasa yeye naye alikuwa mtumwa?
 

Tuko pamoja kaka, just challenge, napigana usiku na mchana kukijua, pengine naona kama nimepata mwalimu sasa, maan amzee kuunganisha pale si mchezo!, I will send PM, kula tuisheni. Kiingereza siyo kuwa kiswahili cha dunia, wala nini Ni lugha ya dunia, nadhani kuna haja ya kubadili mfumo wetu wa elimu uwe kama Ghana, Botswana, masomo yote kuanzia primary ni kiingereza
wana somo moja tu la lugha na utamaduni wao amabalo wanasoma mpaka chuko kikuu.

Kindly I need help mzee, maana kazi ipo

soma PM yako

waberoya
 


Ndio maana wengine siku zote twapiga kelele elimu itolewe kwa Kiswahili hadi PHD maana kuna dhana potovu kwamba english au French ndiyo elimu. Kama hata houseboy huko Ulaya anaweza ongera English mzuri kuliko tunaokosoani kiligha
ay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…