This is urgent!!!!

This is urgent!!!!

Duuu pole sana lakini kila kitu kina muda wake usijali.
 
Jenu hebu relax kwanza mamii!
mapenzi hayavutwi na kamba hivo
kuwa na umri mkubwa(kwa mujibu wako)kuachwa na mpenzi hakukupi sababu ya wewe kujizira kiasi hiki mamii!
sijasema huwezi kupata mpenzi humu,lakini hata aliye na nia ya kweli kwa style hii unamfukuza!
watakufanya tambara la deki tu wakuache!
jipe muda!get a sip kwanza!LOVE WILL COME ON UR WAY!
huwa hatutafuti wanaume kwa nguvu hivi mamii!
huwezi kupata mwanaume kwa collective strategy kiasi hiki!
moyo na mwili wako sio SANDAKALAWE mamii,kiasi cha mwenye kupata apate!AU CHA KUOKOTA SI CHA KUIBA!
please!
Asante dada yangu,ila umri umeenda sana,nakaribia menopause
 
Last edited by a moderator:
Samahani anti
tulia wewe sara alizaa mtoto na miaka mingapi? mtumaini Mungu nae atafanya jambo katika maisha yako. OMBA KWA JINA LA YESU MUNGU NI MWAMINIFU
 
Back
Top Bottom