This is what GMO is, for those who are interested

This is what GMO is, for those who are interested

Geza wewe Elimu yako ni Elimu ya hovyo Sana, sijui umesoma "field gani ". Nani amekuambia kwamba tumekatazwa kuzalisha mbegu zetu wenyewe, msikilize huyo Proffesor katika hiyo video anajibu hayo maswali yako au huo wasiwasi wako. Tafadhali jifunze kubaki katika maeneo machache ambayo huko umebobea zaidi, wacha kujifanya unajua kila eneo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
mbegu za GMO ziko patented huwezi kuzizalisha for commercial purposes! Sihitaji kumsikiliza Professor ni kitu kiko wazi! Lazma upate licence the likes of seedco kwa GMOs seeds wanakuwa licenced na MONSANTO n the likes! seeds should not be monopolized or carteled! Wakiruhusu hili kama wewe usiyeelewa basi tumekwisha! Kabla ya kujifanya mjuaji hii maneno research topic inaitwa bioethics kimapana!
 
kama unadhani matumizi ya GMO ni sahihi na unapigia chapuo basi your worldview perception is very weak na hujui mpaka sasa nini kinaendelea kuhusu hizo GMO. Fanya kauchunguzi kadogo utaona namna ambavyo zinapigwa vita, na kuna nchi zimeacha mbegu hizo kutokana na madhara yake kwa binadamu.

hata hapa tz, mahindi ya GMO si rahisi kuyatunza, ukiweka ghalani inakulazimu kuyatilia dawa kila baada ya miezi kadhaa na baada ya muda fulani si zaidi ya mwaka yanatakiwa yatumike la sivyo yanaharibika yanapukutika tu hata kwa mkono yanasagika.

achana na hizo documentary za kibiashara
Umeongea vitu viwili tofauti kabisa
1. Madhara ya GMO kwa watu kwa kuwa inapigw vita
2. Uhifadhi wa mazao

1.Kwa mimi nilivyo elewa ni kuwa GMO ni advance method ya cross breeding ambayo ndio tunatumia hapa kwetu.
Kwa mfano unataka kulima mahindi Dodoma ambapo unajua kuna kiangazi kikali; Unachoangalia ni zao gani linastawi Dodoma pengine niseme Mtama. Hiyo technologia ya GMO unachukua Genes za Mtama zinazofanya uhimili ukame na kuziweka kwenye genes za mahindi unayotaka kuotesha Dodoma ili yaweze kuvumilia ukame.
Najua kuna combination nyingine zinaweza kuwa sio nzuri sana kwa matumizi kutokana na ile chemical process ya kutoa genes kutoa A kwenda B ila kimsingi sio kitu hatari kama watu wanavyo ogopeshwa.

2. Kuhusu kuhifadhi hiyo ni topic tofauti wala sio GMO sawa tu na mahindi ya Hybrid hayawezi kuvumilia kama yale ya kwetu ya kienyeji

Kimsingi sisemi Tanzania turuhusu GMO ila ninachosema tujikite zaidi kwenye kusoma na kutafiti zaidi ili Ile sehemu nzuri ya huo utafiti wa GMO tuweze kufaidika nao
 
Umeongea vitu viwili tofauti kabisa
1. Madhara ya GMO kwa watu kwa kuwa inapigw vita
2. Uhifadhi wa mazao

1.Kwa mimi nilivyo elewa ni kuwa GMO ni advance method ya cross breeding
Yaani mfano unataka kulima mahindi Dodoma ambapo unajua kuna kiangazi kikali; Unachoangalia ni zao gani linastawi Dodoma pengine niseme Mtama. Hiyo GMO unachukua Geans za Mtama zinazofanya uhimili ukame na kuziweka kwenye mahindi unayotaka kuotesha Dodoma ili yaweze kuvumilia ukame.
Najua kuna combination nyngine zinaweza kuwa sio nzuri hasa kutokana na chemika zinazotumika wakati wa kuchanganya ila kimsingi sio kitu hatari kama watu wanavyo ogopeshwa
2. Kuhusu kuhifadhi hiyo ni topic tofauti wala sio GMO sawa tu na mahindi ya Hybrid hayawezi kuvumilia kama yale ya kwetu ya kienyeji

Kimsingi sisemi kuwa turuhusu GMO ila ninachosema tujikite zaidi kwenye kusoma na kutafiti zaidi ili kama kuna sehemu nzuri ya huo utafiti wa GMO tuweze kufaidika nao
GMO ni genetical modified Organisms ni zaidi ya crossbreeding! Ina-involve bioengineering!
 
Wewe nani?, Kwani hata chanjo ya Corona mliikubali?, Leo hii kikowapi?, Chanjo inaendelea Kama kawaida, endelea na maombi kanisani na miaikitini, wenye akili wanaelekea sayari ya Mars?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unafeli sana Kijana.

Dunia haitaki ubabaishaji tena wa kulishana sumu.

Unapoteza muda.
 
Umeongea vitu viwili tofauti kabisa
1. Madhara ya GMO kwa watu kwa kuwa inapigw vita
2. Uhifadhi wa mazao

1.Kwa mimi nilivyo elewa ni kuwa GMO ni advance method ya cross breeding ambayo ndio tunatumia hapa kwetu.
Kwa mfano unataka kulima mahindi Dodoma ambapo unajua kuna kiangazi kikali; Unachoangalia ni zao gani linastawi Dodoma pengine niseme Mtama. Hiyo technologia ya GMO unachukua Genes za Mtama zinazofanya uhimili ukame na kuziweka kwenye genes za mahindi unayotaka kuotesha Dodoma ili yaweze kuvumilia ukame.
Najua kuna combination nyingine zinaweza kuwa sio nzuri sana kwa matumizi kutokana na ile chemical process ya kutoa genes kutoa A kwenda B ila kimsingi sio kitu hatari kama watu wanavyo ogopeshwa.

2. Kuhusu kuhifadhi hiyo ni topic tofauti wala sio GMO sawa tu na mahindi ya Hybrid hayawezi kuvumilia kama yale ya kwetu ya kienyeji

Kimsingi sisemi Tanzania turuhusu GMO ila ninachosema tujikite zaidi kwenye kusoma na kutafiti zaidi ili Ile sehemu nzuri ya huo utafiti wa GMO tuweze kufaidika nao na kukuza uchumi
Upumbavu mtupu!

Kula mbegu asili achana na matakataka Kijana!
 
GMO ni genetical modified Organisms ni zaidi ya crossbreeding! Ina-involve biomanipulation!
Ni kweli kabisa na ndio sababu nimesema ni advanced technology ya Crossbreeding na maanisha Dunia inatoka kwenye Cross Breeding inangalia tu ni nini unataka (end result) ina deal nacho
Tofauti na Cross breading ambapo lazima iwe ya mazao yanayo endana hii technology ya GMO inaruhusu hata kuchanganya genes za mkonge/katani na mahindi etc

Ila nikweli kabisa kuwa, utafiti zaidi unahitajika ili kuepuka madhara hasa kwa hapa Nyumbani ambapo hatuna changamoto kubwa ya chakula
 
Ni kweli kabisa na ndio sababu nimesema ni advanced technology ya Crossbreeding na maanisha Dunia inatoka kwenye Cross Breeding sasa hivi inangalia tu nini unataka (end result) ina deal nacho
Tofauti na Cross breading ambapo lazima ufanye cross breeding ya mazao yanayo endana hii technology ya GMO inaruhusu hata kuchanganya genes za mkonge/katani na mahindi etc

Ila nikweli kabisa kuwa, utafiti zaidi unahitajika ili kuepuka madhara hasa kwa hapa Nyumbani ambapo hatuna changamoto kubwa ya chakula
GMO is genetic engineering in laboratories! Iko monopolozied na giant companies through patents sasa tulivyo 3rd world countries tuko dependent kwa kila kitu kutoka west aside our own food to eat sasa mnataka hata chakula tunachokula tu-depend kutoka makampuni ya kimagharibi? ebo? nyie mkoje? Tuuze na utu wetu sio?

Difference-Between-Cross-Breeding-and-GMO-Comparison-Summary-560x1024.png
 
But activists protested the move, raising concerns over the safety of GM foods.

"Food security is not just about the amount of food but the quality and safety of food," said a joint statement signed by a dozen groups, including Greenpeace Africa. "Our cultural and indigenous foods have proved to be safer, with diverse nutrients and with less harmful chemical inputs."

Kenya, like many other African nations, banned GM crops over health and safety concerns and to protect smallholder farmers, who account for the vast majority of rural agricultural producers in the country. But it faced criticism over the ban, including from the US, which is a major producer of GM crops.

Hayo ni madhara ya GMO. Pia mataifa 19 ya Eu yamepiga vita matumizi ya GMO.
Huyu joto la jiwe mpuuzi sana watu siku hizi wanaume wanaota maziwa na matako, wasichana wanavunja ungo miaka nane hajiulizi! Hajui ni effects za gene manipulation cum genetic engineering!
 
Huyu joto la jiwe mpuuzi sana watu siku hizi wanaume wanaota maziwa na matako, wasichana wanavunja ungo miaka nane hajiulizi! Hajui ni effects za genetic manipulation and engineering!
Testosterone level zimeshuka kwa 50% kulinganisha na miaka ya 80, yaani maziwa kuota kwa wanaume imekuwa kawaida na kuongezeka kiasi cha estrogen. Kumekuwa pia na upungufu wa sperm count.
 
mbegu za GMO ziko patented huwezi kuzizalisha for commercial purposes! Sihitaji kumsikiliza Professor ni kitu kiko wazi! Lazma upate licence the likes of seedco kwa GMOs seeds wanakuwa licenced na MONSANTO n the likes! seeds should not be monopolized or carteled! Wakiruhusu hili kama wewe usiyeelewa basi tumekwisha! Kabla ya kujifanya mjuaji hii maneno research topic inaitwa bioethics kimapana!
Wacha kudanganya watu, wewe hujui lolote katika hili eneo. Hivi hujui kwamba dawa za binadamu na chanjo za magonjwa ambayo yanakuwa ni tatizo la kidunia Kama ilivyo njaa, WHO au FAO/WFP wanayohaki ya kununua hiyo patent unayosema na kuruhusu nchi na makumpuni kuzalisha ili ziwafikie watu wote duniani?. Jielimishe kwenye dawa za UKIMWI na Chanjo mbalimbali ikiwemo chanjo ya Corona.

Geza wewe hujui lolote kuhusu hili eneo, utaendelea kujiaibisha na kushusha heshima yako, ninajua kwa Sasa heshima yako imeshaporomoka Sana, ila ninakushauri hapo ilipofika jaribu kuilinda isiporomoke zaidi

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo huamini Sayansi, sivyo?[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Yes yes
Sayansi inaclonflict na imani kuwa Mungu yupo.

Sayansi ni disaster ndo maana inatengeneza destructive gadgets hata dawa za kisayansi ni sumu inayopambana na uhalisia wa uhai. Ukitumia dawa na nature bila sayansi hakunaga overdose.

GMOs hazina continuity. Kokwa la embe za GMO halizai embe jingine. Panda mpera wa GMO halafu uukuze bila viuatilifu, pera utakalochuma utajua hujui.

I connect to Science but not as essential segment ya maisha
 
Huyu joto la jiwe mpuuzi sana watu siku hizi wanaume wanaota maziwa na matako, wasichana wanavunja ungo miaka nane hajiulizi! Hajui ni effects za gene manipulation cum genetic engineering!
Wewe jambo la maana kwako ni kuhusu "reproduction only". Kwanini usizungumzie faida za kiuchumi na maendeleo zipatikanazo kutokana na matumizi ya Elimu ya "Genetics" badala yake unazungumzia Mambo ya kijinga ya kuota matako na maziwa, hii inaonyesha jinsi ulivyo mtu wa hovyo Sana, kwako wewe kuota matako unaona ndio kitu muhimu kuliko kuokoa maisha ya watu wanaokufa njaa, au ajira nyingi zinazozalishwa kwa kutumia Elimu ya "Genetics", wewe ni zaidi ya kichaa

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom