LPG ni moja ya nishati mbadala ambayo ni rahisi na rafiki kwa mazingira, Tatizo linakuja kwa makabaila (so called capitalist) wanapenda kula kwenye migongo ya raia (parasites), Mtungi wa gesi unauzwa kwa Kg? Na sio ujazo? Ni Tanzania tu. Ni nini wajibu wa shirika la Maendeleo la Petroli? (TPDC) kwenye hili?
Kuna nchi nyingine vilevile huuza kwa uzito badala ya ujazo. Mimi nadhani ni nzuri kuuza kwa uzito badala ya ujazo kwani ni rahisi kuhakiki uzito na siyo ujazo.
Vipi Bagamoyo mmeshapata?
KVM
Mkuu, BUTANE kama Liquefied Petroleum Gas, ikiwa kwenye mtungi inakua katika hali ya kimiminika, sasa mwananchi wa kawaida atajuaje kama ule mtungi wa gesi wa Kg 15 au 25 ameuziwa ujazo au uzito wa mtungi?
Ok ngaja nipitie hayo maelezo na docs niingie kwenye augent mbagala.
=====================
Ukipata Ujumbe wa chuki matusi futa delete kabisa
=====================
what is the difference ya kuuzwa kwa ujazo{volume} au uzito{tungamo},kwan density ya butane ina change kulingana na vipimo? Ukipima kwenye mzani au cylinder density ya butane ina change?
KVM
Mkuu, BUTANE kama Liquefied Petroleum Gas, ikiwa kwenye mtungi inakua katika hali ya kimiminika, sasa mwananchi wa kawaida atajuaje kama ule mtungi wa gesi wa Kg 15 au 25 ameuziwa ujazo au uzito wa mtungi?
Huenda sielewi vizuri maana ya zile Kgs zilizoandikwa kwenye mtungi. Mimi nadhani zinamaanisha ni uzito wa mtungi ukiwa umejazwa gesi. Kama ni uzito wa mtungi bila kitu ndani bado hakijaharibika kitu. Wauzaji au serikali inabidi ituambie ule mtu wa 9kg au 25kg n.k. unakuwa na uzito gani baada ya kujazwa gesi. Mimi nitajua kirahisi kabisa kama nimeibiwa kwa kuupima mtungi huo kwenye mizani ya kupimia uzito. Aghalabu itakuwa ni vigumu kwa watu wengi kupima ujazo wa gesi iliyoingizwa kwenye mtungi.
mnahitaji mtu mwenye capita minimum kiasi gani
NImehamasIka n Nipo mwanza' tayari mna wasambazaji?
Nashukuru mkuu,mi nipo wilaya ya Muleba.ninaishi tarafa ya nshamba kuna population kubwa na waweza kuhamasishwa kutumia gas.mtaji huo naweza kuupata naomba ushauri nifanyeje kuweza kuwa wakala wenu.chumba cha biashara ninacho.japo kwa huku inaweza kuwa biashara mpya kwa walio wengi, hivyo itahitaji uvumilivu na muda watu kuja kuielewa na kuitumia.nipo tayari kuwa wakala.
nitashukuru kaka,contact namba yangu ni 0768758877au email:miltonjacob909@yahoo.com