This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

Kathibitisha kwamba katibu mkuu alikuwa sahihi kusema wanatakiwa warudi vyuo wakasome namna ya kuongoza.

Cc Unforgetable
Achana na kumsikiliza huyo katibu mkuu wetu muimba mipasho. Yeye kila siku anaongea ongea in the name of kukemea wakati hao anao wakemea kila siku wanatekeleza mambo yao. Bashiru ameshadharaurika ndani ya chama, hana nguvu ya kumgusa mteuzi yeyote yule.
Atabaki anatoa lecture tu kwa wanachama.
 
Kunae Ombwe la Uongozi nchi hii.

Nadhani wakati umefika hizi nafasi za Uongozi zingeachiwa mamlaka kadhaa kuchagua

Mfano hawa wakuu wa Wilaya ilitakiwa watokane na watumishi wa umma waliofanya kazi muda mrefu na wenye Merits fulani fulani na wapitishwe na mamlaka au bodi fulani na sio Mh rais.

Hilo lingefanyika hata kwa wakurugenzi na wakuu wa mkoa.

Serikali ina hazina ya watumishi wenye Merits na waledi mzuri na walipita kwenye mambo ya Uongozi badala ya kuchagua hawa wanaoelezwa kila siku hawaelewi mfano mzuri ni Maafisa Elimu Kata.

Wale jamaa ni watu wenye uzoefu mkubwa sana kwenye Uongozi na most of them ni walimu wa muda mrefu na wanajielewa sana.

Jaribu kuangalia teuzi zao na wanapowekwa ni watu walioiva na wajua maadili na wanaielewa vizuri jamii yao na hivyo kuleta matokeo chanya kuliko huu utaratibu wa sasa wa kuanua-anua viongozi popote.

Asante
 


Edit this boss..royal = Loyal...bibi faiza asije akakuuliza lile swali lake..😀😀
 
Ikulu iombe ufafanuzi wa kauli yake isiporidhika jumapili asubuhi tupate cha kuzungumza baada ya Msigwa kutupia taarifa ya utenguzi.
 
Pale siasa inapotaka KUFUNIKA UHALISIA. Kwa maoni yangu Mwizi Dawa yake ni Kuua. Kama umewahi ibiwa na huna SIASA UCHWARA huwezi anzisha uzi kudaubt hoja za Chalamila. Naunga mkono Hoja ya Chalamila. Najua wanasiasa uchwara watakuja na hoja za kazi ya polisi mara mahakama oooh haki za binadamu nk.Ibiwa kwanza uone kama utaleta SIASA UCHWARA hizo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu #Pasco hivi ni huyu ndie aliyemshauri Jiwe abadili jina la chama kutoka CCM kuwa Magufuri Political Party?
 
Huyu RC hata ukinuangalia alivyo na anavyo ongea kabisa unaona ana matatizo kichwani
 
Katika nchi ya watu waliostaarabika, na yenye serikali madhubuti, na mifumo ya kiutawala inayofanya kazi kwa kuzingatia sgeria, baada ya kauli ile pale pale alistahili kukamatwa na kushtakiwa kwa kosa la mauaji ya kukusudia. Huyu amekiri kwa kinywa chake kuwa aliua kwa makusudi.

Si jambo la ajabu kwa wamwagaji wa damu za watu, kufika kipindi fulani na kuanza kuweweseka wenyewe. Huyu nadhani tayari yupo kwenye hatua hiyo.
 
Ehee imenibidi ni change mtazamo..umesema.kweli aisee...aibu yetu hii...
 
Hapa tatizo liko kwa aliyemteu na usalama wa taifa, ambao walihusika kwenye vetting process.

Huyu RC anakuwa na blunders nyingi kila mara na hatumbuliwi, jee ana ukaribu gani na Raisi.
 
Akamatwe kwanini kasema wezi wauawe?Jamaa yuko sahihi kabisa. Wezi wachomwe hata moto,ukitaka kuona sheria ni upuuz mbele ya mwizi angalia akiiba huwa abakimbilia wapi?Wao kukaa jera, sijui wapi sio shida. So leo huyu akipigwa risasi mwingine kachomwa moto angalau akili zinawarudi kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wake wenye ujuzi na parmtions with energy, watuanzishie a CITIZENS petition kwa raisi huyu RC aondokewe kazini mara moja kwa Amri ya raia walionpigia kura Mhe. RAISI. CITIZENS IRREVOCABLE PETITION
 
Hiki kiburi cha madaraka kinatokana na mapungufu ya katiba yetu.'Wateule' Kuna mawazo mbadala kuwa na wakuu wa mikoa wanaopigiwa kura!
Leo hii hata wakazi mkoa husika nusu wamkatae, mteule ndie mwamuzi. Ukistaajabu ya kauli tata za wateule dc's,rc's utayaona ya Sabaya,AliHappy...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…