Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
And now the time is telling us some real serious stuffs which we never wish to hear about.
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi
Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi nilichosikia na kilicho nifanya nipandishe bandiko hili.
Kiongozi huyu anasema kibaka akiingia kwako hata kama ni kuiba chumvi, anakuwa ameomba mambo matatu.
1. Ameamua kuiba
2. Ameamua kuua
3. Ameamua kuuwawa
Amewaambia polisi wa mkoa wake kuwa kufuatia magereza kufurika, wayajibu maombi ya vibaka wote mkoani kwake kwa kuwapatia ombi lao la tatu yaani wauwawe!.
Kubwa kuliko ni akajitolea mfano yeye mwenyewe jinsi alivyomuua kibaka aliyevamia nyumbani kwake kwa kumpiga risasi mbili na kufa papo hapo, na yeye ili kukamilisha furaha yake kwa kufungua bia moja kunywa kwa kujipongeza!.
Kwa watu wanaojua kitu kinachoitwa psychoanalysis ya binaadamu, unaweza kumbaini a person of unsound mind kwa jinsi anavyoongea.
Kwa jinsi mtu huyu alivyoongelea hili tukio la kumuua kibaka na Kusherehekea kwa kunywa bia, I seriously doubt the soundness of his mind, this is a psychopath or a sadist!.
Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokota wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of state of mind kabla ya uteuzi, hivyo nina amini kabisa alipoteuliwa, mteuzi hakujua state of mind ya mteuliwa huyu!.
Kwa vile state of mind is not static, ni dynamic, inawezekana kabisa wakati anateuliwa he was OK, akaja kubadilika mbele ya safari, kama hata baada ya kuyasema haya ataachwa aendelee, huu utakuwa ndio uthibitisho kuwa hali hii inafahamika vyema, hivyo mwacheni apige kazi.
Kitu nitakachowaomba wana jf wenzangu mfuatilie, ni kitu kinachoitwa Karma kinavyoshughulikia watu kama hawa, hivyo bandiko hili liwekeni pending kwenye kumbukumbu zenu, ili siku karma itakapo anza to take its toll kwa ma psychopath kama hawa kwa kumshungulikia, mkumbuke kuna watu humu tulisema kabla.
Psychoanalysis ya ma psychopath, na ma sadist, kwa kadri anavyofanya sadism na kuachwa, ndivyo blood thirsty inavyozidi, hivyo atafanya tukio kubwa zaidi na zaidi ndipo watu watashituka!.
It's only a matter of time.
Paskali
Wanabodi,
Psychoanalysis ya ma psychopath, na ma sadist, kwa kadri anavyofanya mauaji ya ki sadist, na kuendelea ku practice sadism huku akiachwa bila kubainika, ndivyo anavyozidi kupata gratification na kuzidi kuwa blood thirsty hadi atafikia stage ya kuwa na insatiable blood thirsty appetite hivyo atakuja kupiga tukio kubwa zaidi na zaidi la ajabu, na ndipo watu watashituka na kubaini kuwa mtu huyu is a psychopath!.
It's only a matter of time.
Paskali
Mtu anayefurahia sana, mno kupita maelezo, kifo cha binadamu mwenzake, tena kifo cha kupasuliwa kichwa na ubongo wake kuruka na kutapakaa hewani, mtu wa type hii ni sadist!.Huyo mtu ni psychopath. Na siku atayopasuliwa bichwa lake na ubongo wake kuruka hewani kama mbege iliyotemwa na mlevi wa gongo, nitafurahi sana, mno kupita maelezo.
Kusema ukweli sijawahi kufurahia kifo cha binadamu mwingine maana wote hiyo ndo hatma yetu.
Lakini kwa huyu psychopath najipa udhuru. Kifo chake nitakifurahia hata kama nikiwa kaburini.
I hate the bitch.
Yeah!..Aliyeagiza mauaji ya kinyama ya raia Oktoba 29,30,31 licha ya kuwa ni sadist pia sio mzima wa akili.Mtu anayefurahia sana, mno kupita maelezo, kifo cha binadamu mwenzake, tena kifo cha kupasuliwa kichwa na ubongo wake kuruka na kutapakaa hewani, mtu wa type hii ni sadist!.
Tunaweza kujikuta tuna ma sadist wendi kuliko tunavyojidhania!.
P.
Sadism ni abnormal personalty, ni ugonjwa hivyo ma sadist wote ni wagonjwa, so does ma psychopaths!.Yeah!..Aliyeagiza mauaji ya kinyama ya raia Oktoba 29,30,31 licha ya kuwa ni sadist pia sio mzima wa akili.
Mtu anayefurahia sana, mno kupita maelezo, kifo cha binadamu mwenzake, tena kifo cha kupasuliwa kichwa na ubongo wake kuruka na kutapakaa hewani, mtu wa type hii ni sadist!.
Tunaweza kujikuta tuna ma sadist wendi kuliko tunavyojidhania!.
P.
Sadism sio kuua,aliyewatuma hao wauaji,alitoa tu amri ya shoot,bila kusema shoot to kill,amri was just shoot, ni jukumu la polisi walenge wapi kwenye hizo shooting,lengo la kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ni just destabilizing only and not to kill, but very unfortunately hatuna snipers wa kulenga miguuni, na kufuatia seke seke ya waandamanaji risasi zimewafumua vichwa kwa bahati mbaya, sio sadism, bali watu wanao sambaza hizi picha, na wakiziangalia wanaona raha, hawa ndio ma sadistOoh yeah….wapo wengi tu mbona.
Kwa mfano, kuna hawa waliowapasua vichwa watoto wa Kitanzania miezi michache tu iliyopita.
Waliowauwa hao watoto, na wale waliotoa amri ya kuwaua, siyo masadist?
Tuwaite watakatifu labda?
Sadism sio kuua,aliyewatuma hao wauaji,alitoa tu amri ya shoot,bila kusema shoot to kill,amri was just shoot, ni jukumu la polisi walenge wapi kwenye hizo shooting,lengo la kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ni just destabilizing only and not to kill, but very unfortunately hatuna snipers wa kulenga miguuni, na kufuatia seke seke ya waandamanaji risasi zimewafumua vichwa kwa bahati mbaya, sio sadism, bali watu wanao sambaza hizi picha, na wakiziangalia wanaona raha, hawa ndio ma sadist
P
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi
Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi nilichosikia na kilicho nifanya nipandishe bandiko hili.
Kiongozi huyu anasema kibaka akiingia kwako hata kama ni kuiba chumvi, anakuwa ameomba mambo matatu.
1. Ameamua kuiba
2. Ameamua kuua
3. Ameamua kuuwawa
Amewaambia polisi wa mkoa wake kuwa kufuatia magereza kufurika, wayajibu maombi ya vibaka wote mkoani kwake kwa kuwapatia ombi lao la tatu yaani wauwawe!.
Kwa vile huyu ndiye Mwenyekiti wa Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa, ndie mwakilishi wa rais, hapa amewapa polisi amri ya a license to kill vibaka wote!. Hivi ndivyo katiba aliapa kuitekeleza inavyosema?.
Kubwa kuliko ni akajitolea mfano yeye mwenyewe jinsi alivyomuua kibaka aliyevamia nyumbani kwake kwa kumpiga risasi mbili za kichwa na kufa papo hapo, na yeye ili kukamilisha furaha yake kwa kufungua bia moja kunywa kwa kujipongeza huku akiitazama maiti ya kibaka alimfumua kichwa!.
Hivi kweli Tanzania tumefikia hapa, kiongozi wa umma, senior public servant anatoa amri ya summarily killing ya kibaka aliyeiba chumvi?, na kujitapa yeye aliua kibaka na kujipongeza kwa kunywa bia!, na bado yuko ofisini!.
Kwa watu wanaojua kitu kinachoitwa psychoanalysis ya binaadamu, unaweza kumbaini a person of unsound mind kwa jinsi anavyoongea.
Kwa jinsi mtu huyu alivyoongelea hili tukio la kumuua kibaka na Kusherehekea kwa kunywa bia, I seriously doubt the soundness of his mind, this is a psychopath or a sadist!.
Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokotaga wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of persons state of mind kabla ya uteuzi, hivyo nina amini kabisa alipoteuliwa, mteuzi hakujua his state of mind ya mteuliwa huyu!.
Kwa vile state of mind is not static, ni dynamic, inawezekana kabisa wakati anateuliwa he was OK, akaja kubadilika mbele ya safari, kama hata baada ya kuyasema haya ataachwa aendelee tuu kuwako ofisini, huu sasa ndio utakuwa uthibitisho kuwa hali hii inafahamika vyema kwa mamlaka yake ya uteuzi, hivyo mwacheni apige kazi.
Kitu nitakachowaomba wana jf wenzangu mfuatilie, ni kitu kinachoitwa Karma kinavyoshughulikia watu kama hawa, hivyo bandiko hili liwekeni pending kwenye kumbukumbu zenu, ili siku karma itakapo anza to take its toll kwa ma psychopath kama hawa kwa kumshungulikia, mkumbuke kuna watu humu tuliona na tukasema kabla.
Psychoanalysis ya ma psychopath, na ma sadist, kwa kadri anavyofanya mauaji ya ki sadist, na kuendelea ku practice sadism huku akiachwa bila kubainika, ndivyo anavyozidi kuwa blood thirsty hadi atafikia stage ya kuwa na insatiable blood thirsty appetite hivyo atakuja kupiga tukio kubwa zaidi na zaidi la ajabu, na ndipo watu watashituka na kubaini kuwa mtu huyu is a psychopath!.
It's only a matter of time.
Paskali
Haya maelezo umepewa na hao wauaji?....au umeamua kujiongeza kusafisha na kutetea huo Uovu?..lengo la kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ni just destabilizing only and not to kill, but very unfortunately hatuna snipers wa kulenga miguuni, na kufuatia seke seke ya waandamanaji risasi zimewafumua vichwa kwa bahati mbaya, s
kwenye fani yetu ya uandishi wa habari,kuna waandishi wachokonozi,na kuna waandishi wazalendo, mimi ni mwandishi mzalendo,tuna utii kwa mamlakaHaya maelezo umepewa na hao wauaji?....au umeamua kujiongeza kusafisha na kutetea huo Uovu?..
Kiongozi acha basi utetezi wa hovyo.Sadism sio kuua,aliyewatuma hao wauaji,alitoa tu amri ya shoot,bila kusema shoot to kill,amri was just shoot, ni jukumu la polisi walenge wapi kwenye hizo shooting,lengo la kutumia risasi za moto kuzuia maandamano ni just destabilizing only and not to kill, but very unfortunately hatuna snipers wa kulenga miguuni, na kufuatia seke seke ya waandamanaji risasi zimewafumua vichwa kwa bahati mbaya, sio sadism, bali watu wanao sambaza hizi picha, na wakiziangalia wanaona raha, hawa ndio ma sadist
P
Nchi ina kazi hii.Just imagine huyu naye anakwambia ni mwandishi tena mzalendo.Mbona kazi jamani.Mtu kama huyu wangefumua watoto wake kadhaa na hizo risasi akili mbona zingerudi.Haya maelezo umepewa na hao wauaji?....au umeamua kujiongeza kusafisha na kutetea huo Uovu?..
Sawa..Mkuu wa mkoa wa DSM, alisema hakuna polisi aliyeua mtu,kama kuna watu wowote waliokufa kwa risasi,kilicho waua sio polisi,ni risasi ndio zimeua,kutoka kwenye bunduki, polisi wao walipiga juu,risasi zenyewe ndio zikapinda kona na kuwaingia watu。