This man is either a sadist or alimuua kibaka, akanywa bia kusherehekea?

t nchi yetu inako elekea sio kuzuri nyinyi mnaiba mabilioni ya kodi za wananchi halafu mnalipwa mishahara mkubwa. na mnapewa magari makubwa yaliyo nunuliwa na kodi zetu, mafuta mnajaziwa na dreva mnapewa bado mnaiba kodi mnapokea rushwa mbona hamuuwawi ? ila mnataka mwananchi mliye mfilisi mpaka akashindwaa kulisha familia yake, akajikuta kwenye hali yakudokoa kuku, mnataka auwawe. jee nyinyi manao iba mabilioni au manao sababisha hasara za mabilioni kama wale walio taifisha shamba la mkulima bila kufuwata sheria na kupelekea kutumia kodi zetu kumlipa mabilioni na bado ndege yetu ikakamatwa tuwafanye nini?
Tuwashangilie tu na msiposhangilie tutaligeuza hilo shamba liwe kikosi cha JWTZ ili kama ninyi ni wanaume,mhoji kifaru cha jeshi
 
Mnaweza msiamini, kiongozi kama huyu ndie akaomba viza ya Marekani na akapewa!.
Kiukweli kuna watu sijui jamaa huwa anawaokotea wapi!, ngoja Wamarekani angalau watusaidie kuwa na adabu!.
P
 
ok, naona ume divert attention toka kwa Makonda ukaileta kwa huyo Chalamila, what does it mean? coz Chalamila humuogopi or what!, jamaa usipende kun'gata na kupuliza km panya, learn to be straight, if something is black just say it, or if is white again say it... but don't look at peoples face before you say something, that's hypocrite of the highest order!

#shame.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnaweza msiamini, kiongozi kama huyu ndie akaomba viza ya Marekani na akapewa!.
Kiukweli kuna watu sijui jamaa huwa anawaokotea wapi!, ngoja Wamarekani angalau watusaidie kuwa na adabu!.
P

Kwani siku hizi hakuna "vetting" mkuu? Au ipo ila haina umuhimu zama hizi?
 
Mnaweza msiamini, kiongozi kama huyu ndie akaomba viza ya Marekani na akapewa!.
Kiukweli kuna watu sijui jamaa huwa anawaokotea wapi!, ngoja Wamarekani angalau watusaidie kuwa na adabu!.
P

Albert Chalamila atapata tabu sana baada ya Jiwe kuacha madaraka. Katika orodha hiyo yupo na Ally Happi wa Iringa, Mrisho Gambo wa Arusha, Mnyeti wa Manyara, Byakana wa Mtwara.

Yaani hawa hata wabadilli sura kwa plastic surgery, tutawatafutia tu tuwaadhibu.

Sijamtaja Makonda kwa vile yeye tayari ni mteja wa ICC pamoja na Mambosasa na Jiwe.
 
Wanabodi,
Kwa watu wanaojua kitu kinachoitwa psychoanalysis ya binaadamu, unaweza kumbaini a person of unsound mind kwa jinsi anavyoongea.
Kwa vile state of mind is not static, ni dynamic,

P
Nimesikia kutokea kwa matukio ya umwagaji damu katika baadhi ya maeneo, Naombeni tusiruhusu sadism kwenye viongozi wetu, tusiwaruhusu wa sadists na vitendo wa ki sadists.
Mungu ibariki Tanzania,
P
 
.Kitu nitakachowaomba wana jf wenzangu mfuatilie, ni kitu kinachoitwa Karma kinavyoshughulikia watu kama hawa, hivyo bandiko hili liwekeni pending kwenye kumbukumbu zenu, ili siku karma itakapo anza to take its toll kwa ma psychopath kama hawa kwa kumshungulikia, mkumbuke kuna watu humu tulisema kabla.

Psychoanalysis ya ma sadist na ma psychopath, kwa kadri anavyofanya sadism na kuachwa, atafanya yukio kubwa zaidi na ndipo watu watashituka.

It's only a matter of time.

Paskali
Japo wengi wanashangilia kutumbuliwa kwa Albert Chalamila, mimi naamini, kutumbuliwa huku ndiko kumsaidia, this man is a psychopath, asingetumbuliwa sasa, angeweza kuja kufanya tukio kubwa zaidi la hizo mbili alizomtwanga huyo kibaka na kujipongeza kwa kunywa bia, angeweza kuja kumimina a full magazine, na kujipongeza kwa try.

Chalamila
Hapo
MAKONDA
Sabaya
Mwigulu

Wote Ni hao Ni either psychopaths or sadists.

Ajabu ya kwamba kuna mmoja ulimtabiria atakuwa rais katika hao hapo ajabu .daaah
 
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi

Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi nilichosikia na kilicho nifanya nipandishe bandiko hili.

Kiongozi huyu anasema kibaka akiingia kwako hata kama ni kuiba chumvi, anakuwa ameomba mambo matatu.
1. Ameamua kuiba
2. Ameamua kuua
3. Ameamua kuuwawa

Amewaambia polisi wa mkoa wake kuwa kufuatia magereza kufurika, wayajibu maombi ya vibaka wote mkoani kwake kwa kuwapatia ombi lao la tatu yaani wauwawe!.

Kubwa kuliko ni akajitolea mfano yeye mwenyewe jinsi alivyomuua kibaka aliyevamia nyumbani kwake kwa kumpiga risasi mbili na kufa papo hapo, na yeye ili kukamilisha furaha yake kwa kufungua bia moja kunywa kwa kujipongeza!.

Kwa watu wanaojua kitu kinachoitwa psychoanalysis ya binaadamu, unaweza kumbaini a person of unsound mind kwa jinsi anavyoongea.

Kwa jinsi mtu huyu alivyoongelea hili tukio la kumuua kibaka na Kusherehekea kwa kunywa bia, I seriously doubt the soundness of his mind, this is a psychopath or a sadist!.

Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokota wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of state of mind kabla ya uteuzi, hivyo nina amini kabisa alipoteuliwa, mteuzi hakujua state of mind ya mteuliwa huyu!.

Kwa vile state of mind is not static, ni dynamic, inawezekana kabisa wakati anateuliwa he was OK, akaja kubadilika mbele ya safari, kama hata baada ya kuyasema haya ataachwa aendelee, huu utakuwa ndio uthibitisho kuwa hali hii inafahamika vyema, hivyo mwacheni apige kazi.

Kitu nitakachowaomba wana jf wenzangu mfuatilie, ni kitu kinachoitwa Karma kinavyoshughulikia watu kama hawa, hivyo bandiko hili liwekeni pending kwenye kumbukumbu zenu, ili siku karma itakapo anza to take its toll kwa ma psychopath kama hawa kwa kumshungulikia, mkumbuke kuna watu humu tulisema kabla.

Psychoanalysis ya ma sadist na ma psychopath, kwa kadri anavyofanya sadism na kuachwa, atafanya yukio kubwa zaidi na ndipo watu watashituka.

It's only a matter of time.

Paskali

Ni aina ya wasaidizi ambao dikteta uchwala pombe aliwapenda, ndege wafananao huruka pamoja.
Pole pole wataisha wote kwenye system, hatuwezi kuongozwa na wajinga na wapumbavu kama marehemu meko, ameondoka na watu wake nao waondolewe
 
Ajabu ya kwamba kuna mmoja ulimtabiria atakuwa rais katika hao hapo ajabu .daaah
Its true, na utabiri wenyewe ni huu

Nakuomba kausome tena uzi huo huku umetuliza akili, ili upate uwezo wa kusoma in between the lines, ni uwezo wa kusoma kitu kilichoandikwa na kujua mwandishi alidhamiria kusema nini au kufikisha ujumbe gani. Hata Kristu Yesu kuna vitu alivizungumza ni parables ili only wenye uwezo wa uelewa wa kiwango hicho, ndio waelewe, wengine wasio na kiwango hicho, wataishia kubaki chaka!.

Kufuatia wengi wetu hatuna uwezo to read in between, nitaanza kidogo kufungua the old parables.

P
 
Japo wengi wanashangilia kutumbuliwa kwa Albert Chalamila, mimi naamini, kutumbuliwa huku ndiko kumsaidia, this man is a psychopath, asingetumbuliwa sasa, angeweza kuja kufanya tukio kubwa zaidi la hizo mbili alizomtwanga huyo kibaka na kujipongeza kwa kunywa bia, angeweza kuja kumimina a full magazine, na kujipongeza kwa try.
P
Yametimia

Huyu Bwana tangu ateuliwe Mwanza anasisitiza watu wanywe na walewe cha kali

Tilalila na ugimbi

Pombe Pombe

Anasisitiza watu walewe tu, Anasema kunywa kunywa pombe
 
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi

Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi nilichosikia na kilicho nifanya nipandishe bandiko hili.

Kiongozi huyu anasema kibaka akiingia kwako hata kama ni kuiba chumvi, anakuwa ameomba mambo matatu.
1. Ameamua kuiba
2. Ameamua kuua
3. Ameamua kuuwawa

Amewaambia polisi wa mkoa wake kuwa kufuatia magereza kufurika, wayajibu maombi ya vibaka wote mkoani kwake kwa kuwapatia ombi lao la tatu yaani wauwawe!.

Kubwa kuliko ni akajitolea mfano yeye mwenyewe jinsi alivyomuua kibaka aliyevamia nyumbani kwake kwa kumpiga risasi mbili na kufa papo hapo, na yeye ili kukamilisha furaha yake kwa kufungua bia moja kunywa kwa kujipongeza!.

Kwa watu wanaojua kitu kinachoitwa psychoanalysis ya binaadamu, unaweza kumbaini a person of unsound mind kwa jinsi anavyoongea.

Kwa jinsi mtu huyu alivyoongelea hili tukio la kumuua kibaka na Kusherehekea kwa kunywa bia, I seriously doubt the soundness of his mind, this is a psychopath or a sadist!.

Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokota wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of state of mind kabla ya uteuzi, hivyo nina amini kabisa alipoteuliwa, mteuzi hakujua state of mind ya mteuliwa huyu!.

Kwa vile state of mind is not static, ni dynamic, inawezekana kabisa wakati anateuliwa he was OK, akaja kubadilika mbele ya safari, kama hata baada ya kuyasema haya ataachwa aendelee, huu utakuwa ndio uthibitisho kuwa hali hii inafahamika vyema, hivyo mwacheni apige kazi.

Kitu nitakachowaomba wana jf wenzangu mfuatilie, ni kitu kinachoitwa Karma kinavyoshughulikia watu kama hawa, hivyo bandiko hili liwekeni pending kwenye kumbukumbu zenu, ili siku karma itakapo anza to take its toll kwa ma psychopath kama hawa kwa kumshungulikia, mkumbuke kuna watu humu tulisema kabla.

Psychoanalysis ya ma sadist na ma psychopath, kwa kadri anavyofanya sadism na kuachwa, atafanya yukio kubwa zaidi na ndipo watu watashituka.

It's only a matter of time.

Paskali

Yametimia mkuu
 
Japo wengi wanashangilia kutumbuliwa kwa Albert Chalamila, mimi naamini, kutumbuliwa huku ndiko kumsaidia, this man is a psychopath, asingetumbuliwa sasa, angeweza kuja kufanya tukio kubwa zaidi la hizo mbili alizomtwanga huyo kibaka na kujipongeza kwa kunywa bia, angeweza kuja kumimina a full magazine, na kujipongeza kwa try.
P
Hajawahi kutokea Sadist kama Kayafa Bin Hamnazo,alifurahia Matajiri kuishi kama Mashetani,waliobomolewa nyumba zao kimara,watu waliokotwa kwenye viroba,Ben Saanane,Lissu,Azory,Lwabaja nk. Na wewe ndio ulikuwa mtetezi wake kwenye media.
 
Hajawahi kutokea Sadist kama Kayafa
,watu waliokotwa kwenye viroba,Ben Saanane,Lissu,Azory,Lwabaja nk. Na wewe ndio ulikuwa mtetezi wake kwenye media.
Uandishi wa habari ni professional, yenye misingi ya professionalism yake, msingi mkuu ni "tell nothing but the truth" with truthfulness, objectivity, impartiality and balance, hakuna uthibitisho wowote wa uhusika wake kwenye hayo. Waandishi ni kama police investigators, hatufanyi kazi kwa hisia, bali on facts and evidence, if you have facts and evidence za uhusika wake, bring them up, tutaandika.
P
 
Wanabodi,
Siamini ninachokisikia hapa kwa kiongozi

Japo wote tunamasikio inawezekana sio wote tunaweza kusikiliza kitu tukasikia, hivyo kwa faida ya wengine naomba kusema kwa kifupi tuu mimi nilichosikia na kilicho nifanya nipandishe bandiko hili.

Kiongozi huyu anasema kibaka akiingia kwako hata kama ni kuiba chumvi, anakuwa ameomba mambo matatu.
1. Ameamua kuiba
2. Ameamua kuua
3. Ameamua kuuwawa

Amewaambia polisi wa mkoa wake kuwa kufuatia magereza kufurika, wayajibu maombi ya vibaka wote mkoani kwake kwa kuwapatia ombi lao la tatu yaani wauwawe!.

Kubwa kuliko ni akajitolea mfano yeye mwenyewe jinsi alivyomuua kibaka aliyevamia nyumbani kwake kwa kumpiga risasi mbili na kufa papo hapo, na yeye ili kukamilisha furaha yake kwa kufungua bia moja kunywa kwa kujipongeza!.

Kwa watu wanaojua kitu kinachoitwa psychoanalysis ya binaadamu, unaweza kumbaini a person of unsound mind kwa jinsi anavyoongea.

Kwa jinsi mtu huyu alivyoongelea hili tukio la kumuua kibaka na Kusherehekea kwa kunywa bia, I seriously doubt the soundness of his mind, this is a psychopath or a sadist!.

Naombeni sana msi question mamlaka yake ya uteuzi huwa inawaokota wapi watu kama hawa, kwa sababu huwa hakuna kipimo cha soundness of state of mind kabla ya uteuzi, hivyo nina amini kabisa alipoteuliwa, mteuzi hakujua state of mind ya mteuliwa huyu!.

Kwa vile state of mind is not static, ni dynamic, inawezekana kabisa wakati anateuliwa he was OK, akaja kubadilika mbele ya safari, kama hata baada ya kuyasema haya ataachwa aendelee, huu utakuwa ndio uthibitisho kuwa hali hii inafahamika vyema, hivyo mwacheni apige kazi.

Kitu nitakachowaomba wana jf wenzangu mfuatilie, ni kitu kinachoitwa Karma kinavyoshughulikia watu kama hawa, hivyo bandiko hili liwekeni pending kwenye kumbukumbu zenu, ili siku karma itakapo anza to take its toll kwa ma psychopath kama hawa kwa kumshungulikia, mkumbuke kuna watu humu tulisema kabla.

Psychoanalysis ya ma sadist na ma psychopath, kwa kadri anavyofanya sadism na kuachwa, atafanya yukio kubwa zaidi na ndipo watu watashituka.

It's only a matter of time.

Paskali

Kama ulithubutu kuposti hii wakati ule akiwa kwenye peak hakika unatisha Pascal Mayalla
 
Back
Top Bottom