Wauzaji wa Container Tz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 2,224
- 4,092
Ni fikra pevu, toka kwa mkuu 'Empty container'!
Wenyewe watakwambia watatumia mitutu ya bunduki kuzuia hayo mabadiliko; na tayari wapo madarakani, kwa sababu hayo "mabadiliko" yaliyotazamiwa kutokea waliyazima.
Mabadiliko yatatoka wapi katika hali ya namna hiyo.
Si unamwona Museveni anadunda tu; huyo ndiye 'role model' wao.
Lakini naelwa unacholenga hapa.
Mabadiliko hayapangiwi wakati, yatatokea kwa wakati wake mwafaka.
Pengine wakati wetu wa mabadiliko ndio huu ufuatao; who knows!
Mabadiliko yanahitaji muda na subira...Ni fikra pevu, toka kwa mkuu 'Empty container'!
Wenyewe watakwambia watatumia mitutu ya bunduki kuzuia hayo mabadiliko; na tayari wapo madarakani, kwa sababu hayo "mabadiliko" yaliyotazamiwa kutokea waliyazima.
Mabadiliko yatatoka wapi katika hali ya namna hiyo.
Si unamwona Museveni anadunda tu; huyo ndiye 'role model' wao.
Lakini naelwa unacholenga hapa.
Mabadiliko hayapangiwi wakati, yatatokea kwa wakati wake mwafaka.
Pengine wakati wetu wa mabadiliko ndio huu ufuatao; who knows!
Aisee"Jambo ambalo wenzetu wa Magharibi walipewa NEEMA NA MUNGU kulichunguza, kulifahamuni, kulielewa na kuliheshimu sana ni suala zima linaloitwa MUDA. Hii ni rasilimali ya bure ambayo hairudi mara mbili. Hii rasilimali huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO (Changes). Kitaalamu hakuna mwanadamu ambaye anaweza kupinga mabadiliko. Awe MWEMA au Awe MBAYA, lazima atakutwa na MABADILIKO".
"Wenzetu wazungu walichotushinda ni hapa tu: NIDHAMU KWENYE MUDA, kwasababu wanafahamu muda huleta kitu kinachoitwa MABADILIKO katika nyanja zote za maisha: Binafsi, Kijamii, Kisiasa, Kiroho, Kiuchumi na Kitamaduni. Hivyo basi kuweza kukabiliana na MABADILIKO yanayoletwa na MUDA, wenzetu wakabuni kitu kinaitwa MPANGO MKAKATI (STRATEGIC PLANNING). Wenzetu walifahamu kwamba hawawezi kuzuia MABADILIKO lakini wanaweza kuyaratibu (MANAGE). You cannot stop changes, but you can manage and mitigate them".
MALCOM LUMUMBA
......na hata hao TISS na TanPol nao watakumbwa na mabadiliko na kwa hakika watabadilikaCcm is officially gone, inaishi kwa neema za polisi tu kwasasa!
Unanikumbusha mbali sana,nilihidhuria Kwa Wasabato wakiwa wanachambua Kitabu cha Daniel, Nebkadneza aliota ndogo! Daniel akamfanulia kwamba,aliota jitu KUBWA, Kichwa dhahabu,miguu na unyayo ni Udongo! Kwamba zitapita falme kama Nebkadneza ndio dhahabu,akasahau kwamba pia zitakuja falme zingine,akachekelea kuitwa Dhahabu! Change is a must!Ni fikra pevu, toka kwa mkuu 'Empty container'!
Wenyewe watakwambia watatumia mitutu ya bunduki kuzuia hayo mabadiliko; na tayari wapo madarakani, kwa sababu hayo "mabadiliko" yaliyotazamiwa kutokea waliyazima.
Mabadiliko yatatoka wapi katika hali ya namna hiyo.
Si unamwona Museveni anadunda tu; huyo ndiye 'role model' wao.
Lakini naelwa unacholenga hapa.
Mabadiliko hayapangiwi wakati, yatatokea kwa wakati wake mwafaka.
Pengine wakati wetu wa mabadiliko ndio huu ufuatao; who knows!
Gentleman,Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki.
Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko .
Mfano mdogo ni platform za kufanya siasa.
Ili chama kiwe relevant au mwanasiasa awe relevant inambidi awe relevant mtandaoni kwa asilimia kubwa tofauti na zamani watu wangeweza kuwa relevant kupitia majukwaa ya kisiasa kama mikutano n.k
Kwahiyo athari za mitandaoni ni kubwa kuliko hata kuutubia mikutano wa wazi .
Jambo hili ni MUHIMU Jamii ya Sasa haitazami TV wala kusikiliza radio .
TV zao na radio na Magazeti ni ya kidigitali
Kwahiyo MTU Fulani anaweza akahisi chama Fulani ni threat kumbe ni kuwa kimebadilika kutokana na mabadiliko na kuweza kuwa- win watu wengi.