Thomas Muller, Raumdeuter wasamehe hawakujui

Nazungumzia relevance ya mifano.

Ulimzungumzia Messi kama GOAT, then ukaweka mfano wa magoli ya msimu huu peke yake. GOAT - of all time, Messi amevunja records ngapi za ufungaji? Kwa nini hukuzizungumzia?

Messi amewahi kuchukua UEFA ngapi? Na hizo UEFA zote alichukua kwa kukutana na timu ndogo?

Hao kina Maradona na Pele, wamechukua makombe yote waliyoshindania? Hawakuwahi kufungwa au kupoteza makombe?

Brazil iliyochukua mwaka 1958 Pele akiwemo, unadhani asingekuwemo ingeshindwa kuchukua? Unajua kama 1970 Brazil alichukua huku Pele akiwa amecheza mechi chache na akaumia, hivyo sehemu kubwa timu ilicheza bila yeye? Mpira ni team work, hata uwe bora vipi huwezi kufanya peke yako, unahitaji kuwa na wachezaji wazuri kuchukua ubingwa.

Messi ni FIFA Player (Balon D'or) mara 6, ambayo ni World Record, lakini kwa kujua kwamba hii itampa edge umeiondoa kwenye vigezo vyako vya kumpima mchezaji.

Naomba nisijikite kwa Pele, twende na Maradona.

Ukiacha kombe la dunia, amechukua domestic cups ngapi, UEFA ngapi, Best Player ngapi kwa level ya FIFA, amekuwa mfungaji bora mara ngapi, ana career goals ngapi, assists ngapi.

Na swala la kwamba Messi aende Newcastle, hili ni utetezi wa kizembe kabisa.

Hapa ninacholalamikia ni merits za mifano unayoitumia kutetea arguments zako unachagua weak points kufanya justification ya point zako.
Mkuu shida inaonekana kuna vitu vingi vinakusumbua mkuu kwaza pele aliumia 66 na sio 70 pia brazil ya 1958 ndiyo hiyo hiyo iliyoshindwa kufanya makubwa 54 wachezaj ni wale wale kina nilton & djalmar na zitto ingizo jipya walikuwa ni Jose Altafini Mazola (19) na Pele (17) na wengine wachache hizo ndiyo sababu zangu

Kitu cha pili nimeitoa balon d or kwa sababu miaka ya kina pele ballon d o ilikuwa inatolewa kwa wachezaji wanaocheza ligi za ulaya na kiukweli mwenyewe unajua jinsi malalamiko yalivyo mengi kubusu ugawaji wa tuzo hizi unajuja tu matatizo ya vitu vya kupiga kura ndio maan nikahamia kwenye fact ambazo kila mtu anaziona uwanjani
 
We jamaa naona mada zako zote ulizoanzisha zimejaa chuki ambazo umezificha kwa mgongo wa facts uchwara!

Unaweza thibitisha kuwa Trent sio bora kihivyo?

Halafu Muller na KDB hawakaribiani kiuwezo hivi karibuni KDB kamuacha mbali sana Muller

Umeanza na ya Messi nikadhani labda ndio ule utimu Ronaldo lakini kuja na hii mada inaonyesha kabisa unatatizo sehemu!
Mkuu wewe ndio unalazimisha iwe hivyo, sijasema trent sio bora nimesema swala la kumfananusha trent na cafu

Kitu kingine kama hujui mimi ni bloodfan wa KDB na ligi ya england huwa naangalia mpira kisa kdb na firmino japokuwa mimi ni man u

Pia nimekiri kuwa kdb ni best kuliko muller. Ni best ndio lakini sio kwamba kuna gap kubwa ila kdb ni bora ila stats zao mkuu hawajapishana sana japokuwa naelewa ugumu wa epl

Hata hivyo lengo la uzi huu ni kuonyesha ubora wa muller so kushindanisha na kdb, kdb anadeserve
 
Mkuu shida inaonekana kuna vitu vingi vinakusumbua mkuu kwaza pele aliumia 66 na sio 70 pia brazil ya 1958 ndiyo hiyo hiyo iliyoshindwa kufanya makubwa 54 wachezaj ni wale wale kina nilton & djalmar na zitto ingizo jipya walikuwa ni Jose Altafini Mazola (19) na Pele (17) na wengine wachache hizo ndiyo sababu zangu

Fanya rejea kwenye huo mwaka 1970, niambie kama Pele alicheza nusu fainali na fainali.
 
mbona umemvunja morali

Aisee anisamehe, kuna siku nilisoma bandiko lake la Messi, sikupata muda sana wa kumjibu, sasa alivyokuja na hii nikajikuta nimejibu hivi.

Tumefikia sehemu tumeelewana lakini, kuna muda nilitaka kumwambia ajaribu pia kupitia makala zako, atapata cha kujifunza.

He is doing good as a beginner, nilimjaji kama mzoefu mwanzoni.
 
Fanya rejea kwenye huo mwaka 1970, niambie kama Pele alicheza nusu fainali na fainali.
Mkuu pele kaumia 66 mkuu sio 70 kacheza hadi fainali mkuu
Screenshot_20200803-153925_UC%20Browser.jpg
 
Asante kwa kunirekebisha, mafile yangu hayakuwa sawa.

Nilimaanisha 1962, ambapo ni baada ya ile 1958. Na kikosi hakikuwa kimebadilika sana.

Na hiyo 1962 Brazil alichukua ubingwa.
Yah kama 62 uko sawa aliumia 62 ndio lakini brazil hiyo ya 62 ni kweli Mane Garincha ndie aliyeibeba timu lakini bila ubish ubora wa brazil ya 62 usingeuona bila brazil ya 1958, na brazil ya 1958 kwa kiasi kikubwa aliyeibadilisha ni pele huko nyuma timu ilikuwa haileleweki na haikuwa na nguvu hicho kipindi soka lilikuwa dominated na Uruguay na European teams na sio brazil
 
Aisee anisamehe, kuna siku nilisoma bandiko lake la Messi, sikupata muda sana wa kumjibu, sasa alivyokuja na hii nikajikuta nimejibu hivi.

Tumefikia sehemu tumeelewana lakini, kuna muda nilitaka kumwambia ajaribu pia kupitia makala zako, atapata cha kujifunza.

He is doing good as a beginner, nilimjaji kama mzoefu mwanzoni.
don, mimi si muandishi wa habari.
ila waandishi wengi makala za mpira wanaochipukia wanapenda kutembea na kivuli cha edo kumwembe...

nilipokuwa nasoma magazeti (nimeacha kitambo) nilikuwa navutiwa zaidi na uandishi wa ezakiel kamwaga hususani anapoandika makala za liverpool au simba.
===========================
  1. kwa hivyo jamaa kasoro zake kubwa ni hoja zake zinavunjika kwa urahisi kutokana na mifano yake
  2. tatizo lake linarekebishika
ngoja nianze kupitia makala zake kwa kuanzia na hiyo ya messi
 
Yah kama 62 uko sawa aliumia 62 ndio lakini brazil hiyo ya 62 ni kweli Mane Garincha ndie aliyeibeba timu lakini bila ubish ubora wa brazil ya 62 usingeuona bila brazil ya 1958, na brazil ya 1958 kwa kiasi kikubwa aliyeibadilisha ni pele huko nyuma timu ilikuwa haileleweki na haikuwa na nguvu hicho kipindi soka lilikuwa dominated na Uruguay na European teams na sio brazil

Point yangu ni kwamba 1962 walichukua Ubingwa bila msaada wa Pele, una uhakika gani kama hiyo 1958 wasingechukua?

Unapozungumzia 1954 mimi naweza kuja na argument kwamba timu ilikuwa kwenye learning curve, ikaja kuwa kwenye maturity kuanzia hiyo 1958, ndiyo maana 1962 walichukua bila Pele.

Kama Pele angekuwa ni muhimu kiasi hicho, 1962 wasingechukua.
 
don, mimi si muandishi wa habari.
ila waandishi wengi makala za mpira wanaochipukia wanapenda kutembea na kivuli cha edo kumwembe...

nilipokuwa nasoma magazeti (nimeacha kitambo) nilikuwa navutiwa zaidi na uandishi wa ezakiel kamwaga hususani anapoandika makala za liverpool au simba.
===========================
  1. kwa hivyo jamaa kasoro zake kubwa ni hoja zake zinavunjika kwa urahisi kutokana na mifano yake
  2. tatizo lake linarekebishika
ngoja nianze kupitia makala zake kwa kuanzia na hiyo ya messi

Wewe siyo mwandishi wa habari yes, maana yangu ilikuwa kwamba wewe ni moja ya watu ambao nikisoma makala zao humu naishia kulike tu.

Sina ninachoweza kubishia, na wakati mwingine najikuta nafanya rejea ya vitu nilivyokuwa sivifahamu.

Style ya Edo siyo mbaya, nimemwambia hivyo pia, nimemshauri tu akwepe kutumia mifano ambayo inaweza hamisha topic au kudegrade uwezo wa anayemzungumzia kwa kuchagua mifano mibovu pekee.
 
Point yangu ni kwamba 1962 walichukua Ubingwa bila msaada wa Pele, una uhakika gani kama hiyo 1958 wasingechukua?

Unapozungumzia 1954 mimi naweza kuja na argument kwamba timu ilikuwa kwenye learning curve, ikaja kuwa kwenye maturity kuanzia hiyo 1958, ndiyo maana 1962 walichukua bila Pele.

Kama Pele angekuwa ni muhimu kiasi hicho, 1962 wasingechukua.
Mkuu learning curve ipi hiyo na ni ndani ya mďa mfupi chini ya miaka 4? kama huo, unaona ishu ya spain hadi kuja kuwa na timu bora 2008 ilivyochukua muda?

Pia kama ni hivyo basi brazil wasingebadili kocha na kumpa vicente fiola 1956 kocha maana progress za learning zinahitaji stratergy ile ille mbona sasa wangekuwa wanawaconfuse wachezaji

Bado nasimama pale pale brazil ya 1962 imeperfom sana bila pele ila pele ndio alikuwa game changer wa brazil kiujumla mkuu nadhani unaelewa mambo ya joga bonito
 
Jaribu kuangalia span ya timu zinavyokuwa, mara nyingi sana huwa kuna generation inayofanya vizuri na huwa inachezea kwenye miaka 10.

Mfano hiyo Spain, generation ya kina Iniesta ilifanya vizuri 2008, 2010 na 2012, baada ya hapo kizazi hicho kimeisha.

France kizazi cha kina Zizzou 1998, 2000, 2006 walipofika final.

Hao Brazil walikuwa kwenye peak hiyo generation yao, ndiyo maana hata 1962 ambapo Pele hakucheza mechi nyingi bado walichukua Ubingwa.

Kitu kimoja cha kuelewa ni kwamba pamoja na ubora wako, bado unahitaji kuwa na teammates wazuri ili ufanye vizuri.
 
Mkuu span so miaka 10 tu inategemeana na biuld up ya squad yako tu mkuu kwan class of 92 ya man u si unaiona ni zaid ya 12+ af pia brazil ile haikuwa tu generation moja ila walifanya total change ya football ndio maana hata 1970 walichukua na 1966 bila hujuma za mwingereza wangebeba na kikos cha 1970 kilikuwa tofauti sana kuna players kama winga jarzinho na kina coutinho walikuwa ni ingizo jipya

Af tukirud kwenye mada nakubaliana lazima usaidiwe na wachezaji wenzio ila mkuu kama shida ni kutokukubali kwako impact ya pele katika mpira wa brazil rejea sources zako utajua tu pele ni game changer mkuu
 
Pele was just 17 hiyo 1958, with him or without him, Brazil wangechukua ule ubingwa. Ndiyo maana 1962 bila yeye walichukua.

Sikatai ubora wake, lakini ni lazima kutambua kwamba alikuwa na wachezaji ambao binafsi walikuwa na uwezo, na walithibitisha hilo, kwamba bila yeye wanaweza.

Usichanganye success ya clubs na mataifa, club inaweza kununua mchezaji wa taifa lolote lile, ila taifa linatakiwa kutumia wachezaji wale tu wa taifa lake.

Class ya 1992 ilikuwa muda wote inapewa backup ya talents, kina Andy Cole, Dwight Yorke na wengine walikuwa added kwenye hiyo team, siyo sawa na taifa.
 
Pele was just 17 hiyo 1958, with him or without him, Brazil wangechukua ule ubingwa. Ndiyo maana 1962 bila yeye walichukua.

Sikatai ubora wake, lakini ni lazima kutambua kwamba alikuwa na wachezaji ambao binafsi walikuwa na uwezo, na walithibitisha hilo, kwamba bila yeye wanaweza.
Mkuu how wangequalify next stage baada ya nusu fainali bila hattrick yake dhidi ya france?????????? Bado pele kafunga goli 2 fainali na kutoa asist kwa vava katika usnindi wa 5-2 mkuu unasema nini?
Au tuanze kuanalyse mechi baada ya mechi????

Yani 62 ndio utaniambia pele hajaperfom kisa injury na bado group stage alifunga magoli na asist before kuumia ila 1958 alikuwa ni mtu mwingine mkuu
 
Back
Top Bottom