Thomas Muller, Raumdeuter wasamehe hawakujui

Thomas Muller, Raumdeuter wasamehe hawakujui

Ukiamua kuiita hivyo inabidi uweke vigezo.

Hizo ligi za Ujerumani na Italy zimeitwa hivyo kwa sababu ni 1 horse race leagues.

Sasa kama EPL utaiita farmers league unatakiwa kuja na sababu.
Mkuu kaa uchunguze usiseme tu one horse race mwaka huu juve kashinda kwa tofauti ya point 1 na mwaka juzi tofauti ya point chini ya 4 na uliona alivyokimbizwa na napoli sijui unamaanisha nini mkuu
 
Sijui unataka relevance ipi??? Af pia uandishi kwa kufanya comparison sion kama kuna dhambi au violation yoyote ya principle za ushahidi
Pia ndio maana nlisema ukipita kwenye socia media utaligundua hilo toka kwa fans mbali mbali l

Tuachane na habari za washabiki wa EPL, tuje kwenye personal accolades kwa level ya FIFA na UEFA.

Jamaa alishawahi kuwa kwenye top 3 ya best player? Najua kuchukua hajawahi na hawezi.
 
Siyo kawaida, swali langu ni 3 na 9 ni sawa? Regardless ni league gani.
Mkuu naona tunaenda kisiasa jibu lako sio sawa ila nafkiri unajua uzito wa uefa, na kama ingekuwa kawaida basi tungeona hizo rekodi zimevunjwa mara nying especially hii curently uefa ya 1992+
 
Mkuu kaa uchunguze usiseme tu one horse race mwaka huu juve kashinda kwa tofauti ya point 1 na mwaka juzi tofauti ya point chini ya 4 na uliona alivyokimbizwa na napoli sijui unamaanisha nini mkuu

Kakimbizwa lakini kachukua.

Labda nikuulize swali, msimu ujao unatabiri nani atachukua Seria A?
 
Tuachane na habari za washabiki wa EPL, tuje kwenye personal accolades kwa level ya FIFA na UEFA.

Jamaa alishawahi kuwa kwenye top 3 ya best player? Najua kuchukua hajawahi na hawezi.
Hajawahi ila my point ni kwamba jamaa anafanya makubwa lakini watu wanamu underate na kuwasifia wachezaji wengine ambao ni kawaida sana

Ila actually level ya FIFA muller bado hajafikia
 
Mwisho wa yote huwezi fananisha upinzani wa hizo ligi na Epl. Ni kweli Liverpool kwa msimu huu katangaza ubingwa mapema ila haimaanishi kua Epl ipo hovyo katika upinzani kiasi cha kufananisha na Bundesliga au Serie A. Man City ilimaliza na points 100 ila aliemfatia hakuachwa points nyingi 95+ points.
 
Kwaninj nishindwe mkuu betting ni maamuzi na kujiamin kuna mwamba alibet leicester atachukua ubingwa? Umesahau mkuu

Mpaka hapa tukipofikia, naamini umeelewa ni nini ninachozungumzia.

Nina uhakika kama kuna cha kujifunza umejifunza na utaboresha aina yako ya uandishi na mifano ya kuchukua.

All the best.
 
Mwisho wa yote huwezi fananisha upinzani wa hizo ligi na Epl. Ni kweli Liverpool kwa msimu huu katangaza ubingwa mapema ila haimaanishi kua Epl ipo hovyo katika upinzani kiasi cha kufananisha na Bundesliga au Serie A. Man City ilimaliza na points 100 ila aliemfatia hakuachwa points nyingi 95+ points.
Mluu nakubali lakini sio upinzani wa kiasi hichoop maana hata ulisema ivo huo msim mtu wa 3 alikua na poont 72 gap la point 15 bado tunarudi kule kule tu sawa sio one horse race ila ni team 2 tu ndio znashndan
 
Mpaka hapa tukipofikia, naamini umeelewa ni nini ninachozungumzia.

Nina uhakika kama kuna cha kujifunza umejifunza na utaboresha aina yako ya uandishi na mifano ya kuchukua.

All the best.
Mkuu nakuelewa shida unashindwa kutumia wise words km ukiw unamjenga mtu unakuw km unamuatack na kumpuuza na hamn binadam anakubal ivo so lazma nikuatack tu na mm mkuu
 
Epl baba lao mleta mada.... Watford kasuka daraja ila katoka na point kwa Spurs,Utd na mabngwa Uciifananshe na Bundeslga
Mkuu hizo team huwa zipo mkuu karibu kila ligi hata mbao c unaiona na bado imeshuka, achana na hiyo kuna team inaitwa Lecce imeshuka daraja lakini imemfunga Lazio na napoli na bado imemlazmisha draw juve na milan apo bado moto wa cagliari mkuu team zipo kama hizi kila league
 
Mkuu nakuelewa shida unashindwa kutumia wise words km ukiw unamjenga mtu unakuw km unamuatack na kumpuuza na hamn binadam anakubal ivo so lazma nikuatack tu na mm mkuu

Kila mwalimu ana mbinu zake za kufundisha, na I can bet, hiyo style itakujenga zaidi.

Kwa sababu kila ukitaka kuandika lazima utajitahidi kuangalia angle zote ambazo critics wanaweza kuleta hoja zao.

Nimesoma makala zako mbili, hii na ile ya Messi. Kwa mwandishi ambaye ni beginner naweza kusema uko vizuri.

Nimeona pia kuna tone fulani unatumia kama ya Edo, si mbaya. Nachokushauri ni kukwepa kutumia mifano ambayo mtu anaweza kuhamisha topic, badala ya kuzungumzia Thomas Muller, unajikuta watu wanazungumzia EPL.

EPL na hizo ligi zingine ni topic pana na inajitegemea.

Pia kwa mchezaji wa caliber ya Thomas Muller, siyo sahihi kumtaja mtu kama Lingard. Weka heavyweights kama ulivyofanya kwa KDB.

Otherwise, usichoke kufanya hii kitu, na sisi tutaendelea kuponda kama umeweka kitu ambacho sicho.
 
Yani mkuu kuna baadhi ya vitu sielewi hata unataka nifanyaje? Ishu ya messi main point ni kuhusu kama anastahili kuwa G.O.A.T je ntajuaje ukweli bila comparison na wachezaji wengine ambao naona wanadeserve kuwa ma goat

Mda mwingine shida huwa ni mtazamo tu pengine mawazo yako yamekariri aina fulani tu ya uchambuzi

Anyway nmekuelewa
 
Nazungumzia relevance ya mifano.

Ulimzungumzia Messi kama GOAT, then ukaweka mfano wa magoli ya msimu huu peke yake. GOAT - of all time, Messi amevunja records ngapi za ufungaji? Kwa nini hukuzizungumzia?

Messi amewahi kuchukua UEFA ngapi? Na hizo UEFA zote alichukua kwa kukutana na timu ndogo?

Hao kina Maradona na Pele, wamechukua makombe yote waliyoshindania? Hawakuwahi kufungwa au kupoteza makombe?

Brazil iliyochukua mwaka 1958 Pele akiwemo, unadhani asingekuwemo ingeshindwa kuchukua? Unajua kama 1970 Brazil alichukua huku Pele akiwa amecheza mechi chache na akaumia, hivyo sehemu kubwa timu ilicheza bila yeye? Mpira ni team work, hata uwe bora vipi huwezi kufanya peke yako, unahitaji kuwa na wachezaji wazuri kuchukua ubingwa.

Messi ni FIFA Player (Balon D'or) mara 6, ambayo ni World Record, lakini kwa kujua kwamba hii itampa edge umeiondoa kwenye vigezo vyako vya kumpima mchezaji.

Naomba nisijikite kwa Pele, twende na Maradona.

Ukiacha kombe la dunia, amechukua domestic cups ngapi, UEFA ngapi, Best Player ngapi kwa level ya FIFA, amekuwa mfungaji bora mara ngapi, ana career goals ngapi, assists ngapi.

Na swala la kwamba Messi aende Newcastle, hili ni utetezi wa kizembe kabisa.

Hapa ninacholalamikia ni merits za mifano unayoitumia kutetea arguments zako unachagua weak points kufanya justification ya point zako.
 
We jamaa naona mada zako zote ulizoanzisha zimejaa chuki ambazo umezificha kwa mgongo wa facts uchwara!

Unaweza thibitisha kuwa Trent sio bora kihivyo?

Halafu Muller na KDB hawakaribiani kiuwezo hivi karibuni KDB kamuacha mbali sana Muller

Umeanza na ya Messi nikadhani labda ndio ule utimu Ronaldo lakini kuja na hii mada inaonyesha kabisa unatatizo sehemu!
 
Back
Top Bottom