Nabii kibonge
JF-Expert Member
- Mar 15, 2018
- 277
- 310
- Thread starter
-
- #41
Mkuu shida inaonekana kuna vitu vingi vinakusumbua mkuu kwaza pele aliumia 66 na sio 70 pia brazil ya 1958 ndiyo hiyo hiyo iliyoshindwa kufanya makubwa 54 wachezaj ni wale wale kina nilton & djalmar na zitto ingizo jipya walikuwa ni Jose Altafini Mazola (19) na Pele (17) na wengine wachache hizo ndiyo sababu zanguNazungumzia relevance ya mifano.
Ulimzungumzia Messi kama GOAT, then ukaweka mfano wa magoli ya msimu huu peke yake. GOAT - of all time, Messi amevunja records ngapi za ufungaji? Kwa nini hukuzizungumzia?
Messi amewahi kuchukua UEFA ngapi? Na hizo UEFA zote alichukua kwa kukutana na timu ndogo?
Hao kina Maradona na Pele, wamechukua makombe yote waliyoshindania? Hawakuwahi kufungwa au kupoteza makombe?
Brazil iliyochukua mwaka 1958 Pele akiwemo, unadhani asingekuwemo ingeshindwa kuchukua? Unajua kama 1970 Brazil alichukua huku Pele akiwa amecheza mechi chache na akaumia, hivyo sehemu kubwa timu ilicheza bila yeye? Mpira ni team work, hata uwe bora vipi huwezi kufanya peke yako, unahitaji kuwa na wachezaji wazuri kuchukua ubingwa.
Messi ni FIFA Player (Balon D'or) mara 6, ambayo ni World Record, lakini kwa kujua kwamba hii itampa edge umeiondoa kwenye vigezo vyako vya kumpima mchezaji.
Naomba nisijikite kwa Pele, twende na Maradona.
Ukiacha kombe la dunia, amechukua domestic cups ngapi, UEFA ngapi, Best Player ngapi kwa level ya FIFA, amekuwa mfungaji bora mara ngapi, ana career goals ngapi, assists ngapi.
Na swala la kwamba Messi aende Newcastle, hili ni utetezi wa kizembe kabisa.
Hapa ninacholalamikia ni merits za mifano unayoitumia kutetea arguments zako unachagua weak points kufanya justification ya point zako.
Kitu cha pili nimeitoa balon d or kwa sababu miaka ya kina pele ballon d o ilikuwa inatolewa kwa wachezaji wanaocheza ligi za ulaya na kiukweli mwenyewe unajua jinsi malalamiko yalivyo mengi kubusu ugawaji wa tuzo hizi unajuja tu matatizo ya vitu vya kupiga kura ndio maan nikahamia kwenye fact ambazo kila mtu anaziona uwanjani