Thomas Muller, Raumdeuter wasamehe hawakujui

Pia mkuu kama pele he was avarage player ni wazi tungeona hana uhakika wan namba lakini kuna wachezaji wakubwa tu aliwapiga benchi akina jose altafini ambaye alikuwa moto sana na ndio maan 1962 akakataa kuchezea brazil akaicheza world cup na italy bado unasemaje mkuu?
 

Okay, nikubaliane na wewe kwamba Pele ndiye chanzo cha wao kuchukua hiyo 1958, bila yeye wasingechukua.

Je, 1962 walichukua bila kutegemea msaada wake kwa kiasi kikubwa, una amini bila Pele kuwapa 1958 wasingepata 1962?
 

Pele was one of the best player, probably of all time. Hili halina ubishi.

Pia, Pele was very lucky to be surrounded with generational talents.

Hakuna mahali nimesema Pele ni average player, he was the best, nilichosema ni kwamba he also had the best teammates.
 
Okay, nikubaliane na wewe kwamba Pele ndiye chanzo cha wao kuchukua hiyo 1958, bila yeye wasingechukua.

Je, 1962 walichukua bila kutegemea msaada wake kwa kiasi kikubwa, una amini bila Pele kuwapa 1958 wasingepata 1962?
Naamini mkuu yan pele si tu aliwasaidia kuchuka world cup 1958 ila aliibadilisha brazil kiujumla in terms of confidence

Brazil iliyolose na hungary 1954 ilikuwa na hali mbaya mkuu

Pia ndio maana hata uyo key player wa 1962 ambaye ni manuel fransisco dos santos Garincha 1958 alikwepo na hakuperfom kiivo lakini 1962 uzeeni kabisa akaja lufanya makubwa zaidi
 
Shida kauli zako ndio zinamfanya awe avarage kwamba awepo asiwepo bado wangechukua tu means hamna chochote alifanya huku mtu alipambana kufa kupna 1958 af kama unavyojua ukifanikiwa kitu confidence inaongezeka na ndio kilichosababisha brazil aperfom vizur 1962
 
Inawezekana tunaongea lugha moja bila kujua, au kila mmoja ameelewa point ya mwenzake kwa namna alivyoelewa.

I am resting my case.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…