Thomas Partey: Nilibadili dini kutoka Ukristo kuwa Muislamu kwa sababu ya mpenzi wangu

Thomas Partey: Nilibadili dini kutoka Ukristo kuwa Muislamu kwa sababu ya mpenzi wangu

BEDUI Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2016
Posts
2,041
Reaction score
2,846
Thomas Partey anasema alibadili dini kutoka Ukristo kuwa muislamu kwa sababu ya mpenzi wake kutoka Morocco, Sara Bella.

Alisema alikulia miongoni mwa Waislamu, na haoni tofauti kubwa kati ya Wakristo na Waislamu.

Kwa sasa jina lake la kiislam ni YAKUBU

IMG_20220610_194453.jpg
IMG_20220610_194504.jpg
 
Project nzuri sana hii kwenye ule mpango wa vatican kuichukua dini yao upya.
 
Kwa hyo mashabiki wa ASANI WALI wanajua Kama mchezaj wao anaitwa YAKUBU?
 
Sema jamaa sijui uislam huwa wanauchukuliaje.

ona jamaa alivyovaa,utadhani kaenda kutambulishwa kijiweni.
 
sema jamaa sijui uislam huwa wanauchukuliaje.

ona jamaa alivyovaa,utadhani kaenda kutambulishwa kijiweni.
Ulitakaa avaeje? , mbona hapo kavaa kisheria, ama unadhani uislam ni kanzu kama ilivyojengeka kwa watu kadhaa, uiislam si kuvaa kanzu, kanzu ni vazi tamaduni la Waarabu. Unaweza vaa vyovyote ila nguo ya chini isivuke mapaja kama vijana wa dar siku hizi
 
Hapo sasa, demu akifa au akimpiga tukio atabadili tena dini? Dini unabadiili baada ya kuona usahihi wake.
Hapo ndipo atapata muda wa kuisoma na kuujua usahihi.
Kifuatacho hapo ni darasa tu
 
Back
Top Bottom