Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Uislamu una lipi la pekee??sema jamaa sijui uislam huwa wanauchukuliaje.
ona jamaa alivyovaa,utadhani kaenda kutambulishwa kijiweni.
Punguzeni mifumo dume ndomana mnaua muda wote badala yakufikiriHata angetoka Saudi Arabia, Mtu hapaswi kubadilisha dini kwasababu ya Mwanamke...anapaswa abadilishe kwa kuielewa na kuipenda mwenyewe.
Kwanza haoni tofauti ya uislam na ukristo huyu anajielewa sasa?sema jamaa sijui uislam huwa wanauchukuliaje.
ona jamaa alivyovaa,utadhani kaenda kutambulishwa kijiweni.
Siku akitendwa atajutaHapo sasa, demu akifa au akimpiga tukio atabadili tena dini? Dini unabadiili baada ya kuona usahihi wake.
Wanaobadili kwwa namna hii, wengi hawaingii darasani, hawana mpangobwa kuijua dini yenyewe vema, labda ampate mtu ambae dini imemkaa sawa amuelekeze njia za kupata elimu nzuri.Hapo ndipo atapata muda wa kuisoma na kuujua usahihi.
Kifuatacho hapo ni darasa tu
Namkumbuka jamaa yangu mmoja alisilimu kwa ajili ya kumuoa binti mmoja hivi. Waliporudi Mwanza kutoka huko Dsm nyumbani kwa wazazi wa mwanamke alipokwenda kuolea, jamaa akaendelea kwenda kanisani kama kawaida.Ataiyelewa tu na ataipenda kwa asilim kwa njia yoyote baadae atafundishwa na kuielewa
Sio kwny suala la diniPunguzeni mifumo dume ndomana mnaua muda wote badala yakufikiri
Nammisi ngwair mwanamume kwa demu ni sawa na mfupa kwa fisi
Project nzuri sana hii kwenye ule mpango wa vatican kuichukua dini yao upya.
Sio kweli. Mtu anaruhusiwa kubadili dini kwa ajili ya mwanamke akhyHata angetoka Saudi Arabia, Mtu hapaswi kubadilisha dini kwasababu ya Mwanamke...anapaswa abadilishe kwa kuielewa na kuipenda mwenyewe.
UNDESTANDING MUHHAMAD by alisina,
Wanaume wengi wanaingia kwenye uislamu ni Kwa ajili ya wanawake
Sio kweli, kuna waliobeba wa wengineKila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe
Natamani nione picha ya demu maana tumeaminishwa mwarabu hakubali kuolewa na gizaShehe Thomas Partey karibu kwenye chama letu la pilau.
Cheki mwarabu anavyokenua kwa jamaa kufuata mila za mababu zakeThomas Partey anasema alibadili dini kutoka Ukristo kuwa muislamu kwa sababu ya mpenzi wake kutoka Morocco, Sara Bella.
Alisema alikulia miongoni mwa Waislamu, na haoni tofauti kubwa kati ya Wakristo na Waislamu.
Kwa sasa jina lake la kiislam ni YAKUBU
View attachment 2256694View attachment 2256695