Thomas Partey: Nilibadili dini kutoka Ukristo kuwa Muislamu kwa sababu ya mpenzi wangu

Project nzuri sana hii kwenye ule mpango wa vatican kuichukua dini yao upya.
 
Kuna wengine wengi wanamsubiri tena wana bikra.
 
Kwa hyo mashabiki wa ASANI WALI wanajua Kama mchezaj wao anaitwa YAKUBU?
 
Sema jamaa sijui uislam huwa wanauchukuliaje.

ona jamaa alivyovaa,utadhani kaenda kutambulishwa kijiweni.
 
sema jamaa sijui uislam huwa wanauchukuliaje.

ona jamaa alivyovaa,utadhani kaenda kutambulishwa kijiweni.
Ulitakaa avaeje? , mbona hapo kavaa kisheria, ama unadhani uislam ni kanzu kama ilivyojengeka kwa watu kadhaa, uiislam si kuvaa kanzu, kanzu ni vazi tamaduni la Waarabu. Unaweza vaa vyovyote ila nguo ya chini isivuke mapaja kama vijana wa dar siku hizi
 
Hapo sasa, demu akifa au akimpiga tukio atabadili tena dini? Dini unabadiili baada ya kuona usahihi wake.
Hapo ndipo atapata muda wa kuisoma na kuujua usahihi.
Kifuatacho hapo ni darasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…