Thomas Ulimwengu apokea uponyaji kwa T B Joshua

Mungu anaponya na Yesu alimwambia yule mwanamke aliekuwa ana matatizo alipo gusa tu vazi la Yesu kuwa IMANI yako imekuponya.. hongera kwa ulimwengu kwa imani yake aliyo onesha, maana hata kwenye operation kuna uwezekano usiamini kupona na kweli hutapona..imani ni jambo jema.
 
Una maana gani? Je umeshawahi kuangalia Emmanuel TV live service kwa utulive hivi karibuni wakati T.B Joshua anahudumia watu kwa maombi? Kama jibu Ni hapana BASI usirudie TENA kuandika tena bila FACTS na kama umeshawahi kuangalia BASI Mungu akurehemu.Ahsante

TB Joshua ni taperi la kimataifa
 
Una maana gani? Je umeshawahi kuangalia Emmanuel TV live service kwa utulive hivi karibuni wakati T.B Joshua anahudumia watu kwa maombi? Kama jibu Ni hapana BASI usirudie TENA kuandika tena bila FACTS na kama umeshawahi kuangalia BASI Mungu akurehemu.Ahsante

TB Joshua ni Taperi mkubwa na ni mchawi mtaalamu,
na nyinyi ndio kondoo wake anawageuza atakavyo kama misukule iliyokatwa ulimi,,
 
Ni mtoto wake wa 3 kati ya watano!

Jenerali Ulimwengu ni mmoja kati ya Majenerali Hodari walioingoza TPDF kati vita dhidi ya yule waliyemuita Nduli Amini.

Yeye alikua Jerenali katika kikosi cha Mizinga, 521 KJ
Dah umeamua kwa makusudi kabisa kumdanganya muuliza swali.

Usimfanyie hivyo mwenzako tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom