Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini maana ya Iman, na yepi misingi yake.Mmh bado tuna mwendo mrefu katika imani. Lakini ukipenda, short cut zipo. Utachagua mwenyewe kutumia au kuacha.
Kakupiga engo ipi funguka!!TB Joshua ni mpigaji.
Kweli kabisa haujakosea jamaa ni mpigaji mzuri wa injili Mungu azidi kumtumia kwa kweliTB Joshua ni mpigaji.
TB Joshua ni taperi la kimataifa
Una maana gani? Je umeshawahi kuangalia Emmanuel TV live service kwa utulive hivi karibuni wakati T.B Joshua anahudumia watu kwa maombi? Kama jibu Ni hapana BASI usirudie TENA kuandika tena bila FACTS na kama umeshawahi kuangalia BASI Mungu akurehemu.Ahsante

Ni mtoto wake wa 3 kati ya watano!
Dah umeamua kwa makusudi kabisa kumdanganya muuliza swali.Ni mtoto wake wa 3 kati ya watano!
Jenerali Ulimwengu ni mmoja kati ya Majenerali Hodari walioingoza TPDF kati vita dhidi ya yule waliyemuita Nduli Amini.
Yeye alikua Jerenali katika kikosi cha Mizinga, 521 KJ
Du!Ni mtoto wake wa 3 kati ya watano!
Jenerali Ulimwengu ni mmoja kati ya Majenerali Hodari walioingoza TPDF kati vita dhidi ya yule waliyemuita Nduli Amini.
Yeye alikua Jerenali katika kikosi cha Mizinga, 521 KJ