Those Laughing At Kenyas New Freight Trains

Sawa
Ila mnapo sema mpo kwenye mambo mapya
Mnafaa kuonyesha vipya kweli!!
Siyo kutuonyesha vitu vya 1970s

Hahaha mmemuona mmorocco!!?
Huyo kashusha vifaa
Sio kukalia Ukabila,Rushwa
Mnatuletea Mitungi ya Chang'aa kuwa ni SGR train!!!

Mitungi ya chang'aa? Hahahahahaha🙂🙂🙂🙂🙂
 
Sawa
Ila mnapo sema mpo kwenye mambo mapya
Mnafaa kuonyesha vipya kweli!!
Siyo kutuonyesha vitu vya 1970s

Hahaha mmemuona mmorocco!!?
Huyo kashusha vifaa
Sio kukalia Ukabila,Rushwa
Mnatuletea Mitungi ya Chang'aa kuwa ni SGR train!!!

Unatakikana ujue huu ni uzi unaosomwa na watu wamataifa mbalimbali, yaani international forum! Na ukiandika uwe makini watu wasishangae na kufanya stereotype waseme, na watu wa eneo hili ama nchi hii mbona wanaonesha ukosefu wa habari!

Maanake, hauna taarifa yoyote kuhusu mambo ya reli, hujui freight, hujui shunting, hujui passenger locomotives! Unadhani Shunting itakuwa bullet na freight iwe trams! mambo haya huyajui! Freight trains are measured in terms of the power they posses not how beautiful they look,

Secondly, you don't even know that Kenya's trains are being manufactured brand new! As we speak, they are being manufactured! Morocco bought second hand high speed trains for passengers as there rail was for that purpose, the Kenya sgr was built on purpose of freight, not passengers!
 
1485028586729.jpg
1485028597992.jpg
1485028604474.jpg
1485028616738.jpg
1485028631412.jpg
1485028640374.jpg

The made from USA locomotives and wagons hahaha we bought 38 of those since 2015 and we have ordered another 30 which will be delivered june this year further we have 96 wagons ranging from first class, second class sleeping, second class sitting and third class.....the kenyas locomotive have been used since 1975 phased out since 1997
 
View attachment 462383View attachment 462384View attachment 462385View attachment 462386View attachment 462387View attachment 462388

Hizo matreni ndio mnanunua sahii? Hizo zikitumika Kenya miaka ya 1900 bana. Pot calling snow black.
 
Hizo za abiria huwezi fananisha na za Tazara ndani naona hapo hakuna meza za kulia chakula,Tazara wameleta mabehewa mapya na ya kisasa!
 
Double stacked kwa mizigo gani Kenya iliyo nayo? Hiyo ya kwenda Uganda?

Kenya pekee ina CONSUME THREE TIMES THE AMOUNT OF GOODS,OIL,CEMENT,FOOD EVERYTHING THAT THE ENTIRE REMAINING EAST AFRICAN COMMUNITY COMBINED CONSUMES.
Hilo hulijui, do research on that Mr. CCM Communist.
Na ndicho kipaumbele kuu kinachotumika ku determine ikiwa nchi ni ya dunia ya nne kama Tanganyika au ya pili.
CONSUMPTION.
Hizo treni zaweza safirisha mizigo ya Kenya pekee na zitosheleze kurudisha faida .
 
Wapi Evidence??
 
Na mimi nasubiri evidence, i'm number 2 on the que. (And not that number 2) [emoji23]
 
Hizo matreni ndio mnanunua sahii? Hizo zikitumika Kenya miaka ya 1900 bana. Pot calling snow black.
Hahahah kijana treni tunazotumia ni toleo la 2015 ndio zinazotumiwa marekani kwa sasa ......... Hahahh nyie ndio mnatumia treni za zamaaani poleni wakenya
 
Mkenya ana haki ya kuiponda kwa sababu ni ushuru wake utakaoilipia. Wewe mdanganyika unaiponda kama nani? Ni kipi chako kilichoibiwa ndio haya matreni yanunuliwe.
Mlima Kilimanjaro ,Olduvai,Gabo,ngorongoro,diamond. nk
 
Ukiandika ujinga utajibiwa ujinga. GIGO - quit being stupid and you'll get good responses.

Nimesema Wakenya wana haki ya kuyaponda hayo matreni. Wewe ngojea yale yenu ya tuta- kama yatawai jengwa uyaponde pia.
Kumbe na ww umeandika ujinga ? Nyambafu kabisa mxiiuuuuuuuu!!!!!!
 
Aaah....sasa kwanini unatuchekelea hivo? Zile treni ni za mizigo, na haijalishi shape zao zinakaaje. Hata kama zinakaa pipa za changaa, ziko poa na ni zetu.
Masikini kanatia huruma[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Back
Top Bottom