Unatakikana ujue huu ni uzi unaosomwa na watu wamataifa mbalimbali, yaani international forum! Na ukiandika uwe makini watu wasishangae na kufanya stereotype waseme, na watu wa eneo hili ama nchi hii mbona wanaonesha ukosefu wa habari!
Maanake, hauna taarifa yoyote kuhusu mambo ya reli, hujui freight, hujui shunting, hujui passenger locomotives! Unadhani Shunting itakuwa bullet na freight iwe trams! mambo haya huyajui! Freight trains are measured in terms of the power they posses not how beautiful they look,
Secondly, you don't even know that Kenya's trains are being manufactured brand new! As we speak, they are being manufactured! Morocco bought second hand high speed trains for passengers as there rail was for that purpose, the Kenya sgr was built on purpose of freight, not passengers!