THRDC: Kusitishwa USAID kumepelekea changamoto kwenye NGO's; Watu kupoteza ajira, kusitishwa miradi, wahitaji kuathirika na kupungua fedha za kigeni

Mpaka wameamua kuwa watafanya hivyo basi kwwa walioathirika baadhi ni ndugu zao ndio maana pia sasa wanapamba kuhakikisha wanaingia serikalini baada ya kukosa ajira
Vijana mjiajiri
 

Wasiwasi wangu ni mishahara na maposho waliyokuwa wanajilipa, wakiingia serikalini si wengine wataishia kupata chini ya robo ya walichokuwa wanapata huko kwa mwezi......
 
Sio tatizo kama hao wabunge wataacha posho zao ili kuipa serikali uwezo wa kulipa mishahara,bima, na mafao yao.

Kuajiri sio swala dogo linahitaji kujiandaa kufedha.

Wao wanaleta masikhara kwenye swala serious kama ajira.
 

Ukitaka kuishi maisha ya furaha na amani siku zote, daima wekeza maisha yako kwenye KAZI badala ya kuwekeza maisha yako kwenye AJIRA.
 
Vijana waliomaliza vyuo lakini hawajajiriwa watawaelewa?? Kama ni hivyo basi muwaombee kazi waliopata redudance huko nyuma.
 
Serikali haiwez kuwaajiri wote, hili ni changa la macho
 
Na hawa wanaosubiria ajira wao wanaombewa na nani...

Waliyokua hawana ajira wanaombewa na watumishi wa Mungu, waliyokua na ajira ila zikasitishwa wanaombewa na bunge...


Cc: Mahondaw
 
Wasiwasi wangu ni mishahara na maposho waliyokuwa wanajilipa, wakiingia serikalini si wengine wataishia kupata chini ya robo ya walichokuwa wanapata huko kwa kila mwezi......
Mtu alizoea kupokea zaid ya 3m per month achilia mbali posho na semina bado double salary mwisho wa mwaka leo hii akapokee mshahara wenye koma moja tena usiozidi laki 6 unadhani atakuwa sawa kisaikolojia.?
 
Washarudi kazini mbona
Sio wote wamerudi kuendelea na kazi ni baadhi ya taasisi ila wengi bado na wengi wao washapewa barua za goodbye na ndio ambao wanamebeba vi local NGO kibaoo hao bado wana kilio cha mbwa mdomo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…