Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Humu kila leo wanasema vijana hawana ajiraZipo
Wapeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu kila leo wanasema vijana hawana ajiraZipo
Vijana mjiajiriMpaka wameamua kuwa watafanya hivyo basi kwwa walioathirika baadhi ni ndugu zao ndio maana pia sasa wanapamba kuhakikisha wanaingia serikalini baada ya kukosa ajira
Baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamejipanga kuishinikiza serikali iwaajili wote waliokubwa na zuio la misaada kutoka marekani!
Hii linadhihilisha wazi kwamba ajira serikalini kwa vijana wetu zipo za kutosha lakini hawana watetezi bungeni!
Pamoja na yote utaratibu wa kuajili kupitia UTUMISHI ni mzigo mkubwa sana kwa waombaji wa kada ndogo ndogo!
Ningeshauri Ajira zote za kada ndogo ndogo zirudishwe halimashauri!
Na huko UTUMISHI Waachiwe zile kada kubwa kubwa za utumishi!
Kuwaita kwenye usaili watoto masikini kutoka kijijini ni gharama kubwa sana kwao kujikimu katika mchakato mzima wa usaili!
Mabunge wanaacha kutetea hayo wanaungana kutetea watu ambao wanaweza kujiajili kutokana na kipato walichochuma huko kwenye mashirika ya misaada walipokuwa.

Naunga mkono hojaunaweza kuta wengi wa waliokuwa wafanyakazi wa usaid ni jamaa zao hivyo hilo chapuo halipigwi bure.
Huo ndio UKWELI wenye kuumiza, kumbe wabunge si watu msaada kwetu !unaweza kuta wengi wa waliokuwa wafanyakazi wa usaid ni jamaa zao hivyo hilo chapuo halipigwi bure.
Kazi ni ajira na ajira ni kazi vinategemeanaUkitaka kuishi maisha ya furaha na amani siku zote, daima wekeza maisha yako kwenye KAZI badala ya kuwekeza maisha yako kwenye AJIRA.
Hawana msaada kabisa hasa hawa wa CCM wa kupita kwa bao la mkonoHuo nd
Huo ndio UKWELI wenye kuumiza, kumbe wabunge si watu msaada kwetu !
Kwa sabab hayo mashirika bjnafsi yanayokula hizo hela wana mikono yaounaweza kuta wengi wa waliokuwa wafanyakazi wa usaid ni jamaa zao hivyo hilo chapuo halipigwi bure.
OohKwa sabab hayo mashirika bjnafsi yanayokula hizo hela wana mikono yao
Serikali haiwez kuwaajiri wote, hili ni changa la machoBaadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamejipanga kuishinikiza serikali iwaajili wote waliokubwa na zuio la misaada kutoka marekani!
Hii linadhihilisha wazi kwamba ajira serikalini kwa vijana wetu zipo za kutosha lakini hawana watetezi bungeni!
Pamoja na yote utaratibu wa kuajili kupitia UTUMISHI ni mzigo mkubwa sana kwa waombaji wa kada ndogo ndogo!
Ningeshauri Ajira zote za kada ndogo ndogo zirudishwe halimashauri!
Na huko UTUMISHI Waachiwe zile kada kubwa kubwa za utumishi!
Kuwaita kwenye usaili watoto masikini kutoka kijijini ni gharama kubwa sana kwao kujikimu katika mchakato mzima wa usaili!
Mabunge wanaacha kutetea hayo wanaungana kutetea watu ambao wanaweza kujiajili kutokana na kipato walichochuma huko kwenye mashirika ya misaada walipokuwa.
Watumishi wa Mungu wanatoshaNa hawa wanaosubiria ajira wao wanaombewa na nani...
Waliyokua hawana ajira wanaombewa na watumishi wa Mungu, waliyokua na ajira ila zikasitishwa wanaombewa na bunge...
Cc: Mahondaw
Mtu alizoea kupokea zaid ya 3m per month achilia mbali posho na semina bado double salary mwisho wa mwaka leo hii akapokee mshahara wenye koma moja tena usiozidi laki 6 unadhani atakuwa sawa kisaikolojia.?Wasiwasi wangu ni mishahara na maposho waliyokuwa wanajilipa, wakiingia serikalini si wengine wataishia kupata chini ya robo ya walichokuwa wanapata huko kwa kila mwezi......
Sio wote wamerudi kuendelea na kazi ni baadhi ya taasisi ila wengi bado na wengi wao washapewa barua za goodbye na ndio ambao wanamebeba vi local NGO kibaoo hao bado wana kilio cha mbwa mdomo juuWasharudi kazini mbona