Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
ingawa binafsi naona si muhimu sana but sio mbaya kwa maoni yao 🐒Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.
Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya kutatua changamoto zilizo kwa njia ya majadiliano.
Wametumwa na CCM hawaMtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.
Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya kutatua changamoto zilizo kwa njia ya majadiliano.
View attachment 3653916
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.
Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya kutatua changamoto zilizo kwa njia ya majadiliano.
***** kata viunoingawa binafsi naona si muhimu sana but sio mbaya kwa maoni yao 🐒
Hao wapumbavu THRDC nawaonyaWametumwa na CCM hawa
Tunawashukuru THRDC kwa Kuwashauri CHAGADEMA wameshagundua Kesi inaenda kuchomolewa kesho.😁
Nakubaliana na weweWametumwa na CCM hawa
Bado hajatia adabu mpaka apige magoti mwenyeweKwanini mnaichomoa chawa toroli.?
Kwani shahidi namba moja Samuya hajiamini kupanda kizimbani kujitetea ni namna gani ametishiwa ?
Maana atakuja na wale makirikiri wake, na jammers zile na bado amejirundika bullet proof huku anayemtuhumu hana hata kisu .
Bado hajatia adabu mpaka apige magoti mwenyewe