PostGE2025 THRDC: Tunaishauri CHADEMA na Tundu Lissu kutafuta suluhu kwa njia ya mazungumzo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.

Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya kutatua changamoto zilizo kwa njia ya majadiliano.

Kwani wameishauri serikali ifanye nini?

Chadema washasema hawajakataa mazungumzo. Ila wametoa masharti yao.

Wasira keshasema kuwa mazungumzo siyo na Chadema.

Hawa jamaa wangeanza kwanza kuwashauri akina Wasira ili tujue wanataka nini badala ya kuwatega Chadema.
 
ila CHADEMA ni noma yaani kila kitu kimesimama nchi hii ! Kila mtu chadema ifanye hivi na vile! Kwa hesabu hizi watv nawaondoke tu wawapishe chadema waongoze hil taifa!
 
Kwa hali ilivyo hata mazungumzo yakifanyika hatuwezi kurudi pamoja tena
 
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.

Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya kutatua changamoto zilizo kwa njia ya majadiliano.

Na walio jipachika madaraka mmewapa ushauri Gani
 
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.

Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili ya kutatua changamoto zilizo kwa njia ya majadiliano.

Anayetakiwa akae na wagomvi ili wajirudi leo anamshauri anayeonewa akae na mbabe wake wayamalize! Ni dhahiri hawa ni machawa wa CCM.
 
Back
Top Bottom