🤣🤣🤣 Kumekucha 🏃🏃🔊Ushavunja husiano tyr?! 😜
Hii imeenda.. nilisema kwa vurugu za Jux ataachwa mtu kiko wapi?! 😂😂😂
Thank you mamiloooo😘!😍😍😍Marry Christmas and happy new yr baby gal
😂😂Ndio maana tunaenda sawa maana buku kwetu mtu asipokula hivyo wanasema sio mwanaume
Hilo swali waulizwe watu wa huko dar sisi wa mikoani chips hatuzijui wala haziuzwi kwetu huku maana ukoo utakutenga ukila😂😂
Sindiyoooo, wanaume kwanza hizo chips na sausage mtuachiage tu jamani, hivi mnashibaje vitu laini lakini..?
Shemu yupiiii??? Mfyuuu!!🤠!Wacha wee!! Sema Shem anatongoza kila mtu 🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mnapenda mashororo nyiee haha sio kwa swagger za Dr zile 🙌!Ha ha ha 😂😂😂😂
Shouga umeamua kumuita kabisa?!!
Jux wa JF kakuvuruga
Pamoja na yootreee Na anapendwa vilevileee 🤣🤭!🚴🚴🚴Wacha wee!! Sema Shem anatongoza kila mtu 🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Nawee piaa shouzzzz!!!Nuzulati cocastic Lamomy Tayana-wog Missy Gf Omulasil Countrywide Merry Christmas a happy new year wapendwaa!
Mazimwi🤠🤠!Wote watatu mna kitu na mazimwi yenu 😂😂😂😂
Nikiwa mkubwa nataka Kuwa km nyie 🤣
Km halieleweki vunja, tuko nje ya muda 😂😂😂Nimeshavunja mahusiano km chawa ulivyosema🤣
Ameeeeeena kubwaaa!Nawee piaa shouzzzz!!!
Watu na mahaba yenu mjiniii, mtag bas.Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…
Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye [emoji4])
Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.
Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon [emoji3590]
Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Habari ndo hiyo🤣🤣Km halieleweki vunja, tuko nje ya muda 😂😂😂
😂😂😂😂😂!Km halieleweki vunja, tuko nje ya muda 😂😂😂
Dr kakushika pabaya shouga 😂😂😂🤣🤣🤣 Kumekucha 🏃🏃🔊
We kuweza Kumpotezea dr
We acha kunijazq shougaPamoja na yootreee Na anapendwa vilevileee 🤣🤭!🚴🚴🚴
Come to me..We acha kunijazq shouga
Kupendwa gani anatongoza Kila mtu[emoji1787]
Nimemuacha[emoji125][emoji125][emoji1787][emoji1787]