Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Prishaz the precious sweet pea... I'm sure nipo kwenye list ya waalikwa wako on Xmas. Just a kind alert... niandalie sahani konki zenye ujazo wa kibantu maana waswahili walinena "mtoto wa masikini utamjulia kwenye matonge". 😎

Wish you joyful pre-xmass arrangements my lovely sisy.

-Kaveli-
 
Hizi ni salam za mwanzoni, siku hizo 2 zikifika kutakuwa na salam zake special pia…

Namtakia kheri ya Christmas na mwaka mpya My one and only, Heart King, Mi Corazon, Kaka Mzuri, Last Born, Babe, Love, Mume Wangu n.k (Yote hayo namuitaga yeye [emoji4])

Japo umerudi ktk maisha yangu wakati nusu ya mwaka huu ikiwa imesogea kidogo, mwaka mzima nauona mzuri.
Nimesahau hadi yale madhila ya katikati ya mwaka, mwaka umekuwa na neema, mabadiliko chanya juu yangu yote sababu yako.

Nakupenda sana. Namaanisha ktk kila nilichokuambia, kila nilichokuahidi.
Wewe ndio last born wangu ktk mapenzi, wewe ndio maana halisi ya maisha na mapenzi kwangu.
Siwezi kusubiri kuishi maisha yangu yote pamoja na wewe…
Te Amo, Corazon [emoji3590]

Jamani eeeh, simtag! Anajijuaaaa
Watu na mahaba yenu mjiniii, mtag bas.
 
Back
Top Bottom