Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Mr Dudumizi, weye pamoja na wana JF wote popote mlipo duniani, nawatakia Xmas njema, yenye baraka na furaha tele.

Mwenyezi Mungu aendelee kutupatia uhai ili tukutane tena hapa tutakiane kheri ingine ya Mwaka Mpya.

Nawapenda sana wakubwa wenzangu, wakongwe wenzangu na wadogo zangu wote wa rika zote Xmas Njema.

Richard

Fort Greene.
 
Merry Christmas πŸŽ… and happy new year in advance, ni furaha kufika walau mwisho wa mwaka, tutarajie wote kuuona huo ujao.

Those who put a smile on my face na wale niliowakwaza tuishi, tuendelee kuishi.

Mimi na Atoto tunawapenda wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…