Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Deeeeeeeeejjjjjjjjayyyy πŸ•Ί
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ awalete ndugu wa kikeni kwa wimbo wa shem km shem kutoka kwa mabantu, na ndugu wa kiumeni wimbo wa Kwere kutoka kwa weusi πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Habari zenu wanaJF wenzangu,

Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass.

Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote yatakayotokea katika siku hizo mbili.

Binafsi napenda kutumia nafasi hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass wanaJF wote waliopo humu, haswa wale ambao wapo tayari kwa ajili ya kusherehekea sikuu hizo.

Najua kwa baadhi ya nchi (ikiwemo hii niliyopo mimi), hiki ni kipindi kigumu kwetu kuumaliza mwaka salama, lkn kwa uwezo wa Mungu wetu alie mwema, mwenye upendo na huruma ya kweli kwetu, basi tutaumaliza salama salmin.. Ameen.
Merry Christmas all JF members!
 
Back
Top Bottom