Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
ππππ Wizzy Wizzy mwenyewe!!@Lamomy na Katriii. Ipite bila kupingwa. Angalia jogoo atawika[emoji23]
Ndio nani uko daslam?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππ Wizzy Wizzy mwenyewe!!@Lamomy na Katriii. Ipite bila kupingwa. Angalia jogoo atawika[emoji23]
[emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hatuna Hizo taarifa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz! Haya mkanibles nirare vizureee mieeππππ kweli simjui, Antonia ananipa wanaume za watu
ππππ awalete ndugu wa kikeni kwa wimbo wa shem km shem kutoka kwa mabantu, na ndugu wa kiumeni wimbo wa Kwere kutoka kwa weusi πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈDeeeeeeeeejjjjjjjjayyyy πΊ
Haya nakuja nione hips πππHatuna Hizo taarifa pullliiizzzzzzzzzzzzzzz! Haya mkanibles nirare vizureee miee
Anakuja Lamomy na naked foto huku mrembo Tayana-wog ametokea saluni anakuja leo kitofauti. Bebi hebu waneshe mke wa tajiri[emoji1787][emoji1787]Kwakweli!! Haya na mrs Kantri na mkeo tayana twendeni mkanibles nirare vizureee sasa[emoji2212][emoji2212][emoji2212][emoji2212]
π€£π€£π€£π€£Anakuja Lamomy na naked foto huku mrembo Tayana-wog ametokea saluni anakuja leo kitofauti. Bebi hebu waneshe mke wa tajiri[emoji1787][emoji1787]
Here waiting πππ Tayana-wog πAnakuja Lamomy na naked foto huku mrembo Tayana-wog ametokea saluni anakuja leo kitofauti. Bebi hebu waneshe mke wa tajiri[emoji1787][emoji1787]
AsantreeeeeeBirthday loading
Kuelekea tar25.....
π€£π€£π€£π€£
Niite kule Nije NikublessKwakweli!! Haya na mrs Kantri na mkeo tayana twendeni mkanibles nirare vizureee sasaπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈπΆπ»ββοΈ
Akati nataka nyie na tajiri enu mnibless msiniangushe mjueHaya nakuja nione hips πππ
PeriodHere waiting [emoji144][emoji144][emoji144] Tayana-wog [emoji4]
Pesa yenyewe anayo sasa?!! Zote kachunwa na coca πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈBirthday loading
Kuelekea tar25.....
π€£π€£π€£π€£
Nipo tyuu sina jipya udugu pic nilizonazo za zamaniAkati nataka nyie na tajiri enu mnibless msiniangushe mjue
Wakati Tayana-wog anajiandaa tubless mara moja. Au ikae dk ngapi isije kunipita?Akati nataka nyie na tajiri enu mnibless msiniangushe mjue
Merry Christmas all JF members!Habari zenu wanaJF wenzangu,
Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass.
Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote yatakayotokea katika siku hizo mbili.
Binafsi napenda kutumia nafasi hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass wanaJF wote waliopo humu, haswa wale ambao wapo tayari kwa ajili ya kusherehekea sikuu hizo.
Najua kwa baadhi ya nchi (ikiwemo hii niliyopo mimi), hiki ni kipindi kigumu kwetu kuumaliza mwaka salama, lkn kwa uwezo wa Mungu wetu alie mwema, mwenye upendo na huruma ya kweli kwetu, basi tutaumaliza salama salmin.. Ameen.
Tunasubiri naked foto usitusahaurishe[emoji1787]Pesa yenyewe anayo sasa?!! Zote kachunwa na coca [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]