Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Hivi kile kisebure chetu cha JLW hawana mpango wa kukirejesha tena? Miss you ile yenyeweee..!!
Cc Maxence Melo
Ila Jukwaa la wakubwa, nitazidi kuliombea liendelee kulala pema huko liliko.
Yaani mpaka leo bado sijaona jukwaa gani nipeleke huu upopoma wangu maana nina mengi yamenikaba mpaka naamua nimalizie hasira zangu kule telegram...teh,teh,teh.....
Kaka Max alisema haliwezi kurudi asilani, kanuni na sheria za TCRA ziliwabana na kuwataka wafanye hivo.

Ila kaka Maxence Melo, watoto wako wengine humu hatuna raha, tupe jukwaa mbadala la wakubwa hata la kulipia tukitaka access.
Majukwaa mengine hayajatushawishi.
Pleaseeee.....😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
 
Back
Top Bottom