Shem, napambania kurudisha penzi la Mung ChrisMjumbe haupoi kabisa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Fanya ka namna uje ule x mass kwetu shem[emoji28][emoji28][emoji28]
Nipo shemeji yangu.Ulipotelea wapi we mwana JLW..!!??
Kama haukuchanika, naomba tushirikiane kula sikukuu pa1 mkuu πππJF I got nobody, Still no friends just alone Merry Christmas to myself and everyone
Pia naomba mkeka usichanikei Nile sikukuu!
...ishaliwa.Ukiona manyoya..!!
Hivi kile kisebure chetu cha JLW hawana mpango wa kukirejesha tena? Miss you ile yenyeweee..!!...ishaliwa.
Missing you ujue.
Mwenzako sio mzoefu wa kukumbatiwa, anaweza kukumbwa na dege dege la ghafla ππ...jamani, njoo nikukumbatie.
Usiwe mpweke jamani
Mkuu nilisha rekebisha.Hii X mas mmeitoa wapi? Naona mnaiga bila hata kujua maana yake, wakristu wanayo Christmas ambayo itakuwa wiki ijayo.
Ila Jukwaa la wakubwa, nitazidi kuliombea liendelee kulala pema huko liliko.Hivi kile kisebure chetu cha JLW hawana mpango wa kukirejesha tena? Miss you ile yenyeweee..!!
Cc Maxence Melo
We nitakie tu mwenzangu, mie heri ya xmass anitakie nani.Dr Restart Dr hyperkid Da'Vinci makaveli10 The Best Of All Time Glenn Gily Gru UMUGHAKA na Half american mmeshatakiwa heri ya Christmas na mwaka mpya??... kama bado mseme niwatakieniππ
Basi atafute partner humu.Mwenzako sio mzoefu wa kukumbatiwa, anaweza kukumbwa na dege dege la ghafla ππ
Afu unajua kuna wenzetu tuliokuwa nao kule JLW sijawahi kuwaona tena tangu lile jukwaa limefungwa.Hivi kile kisebure chetu cha JLW hawana mpango wa kukirejesha tena? Miss you ile yenyeweee..!!
Cc Maxence Melo
Basi usiwaze, Merry Christmas and happy new year big brotherWe nitakie tu mwenzangu, mie heri ya xmass anitakie nani.
ππ
Ahsante kipenzi changu, nawe pia kadadaa.Basi usiwaze, Mery Christmas and happy new year big brother
π€π€. Uje usherekee kusini safari hiiAhsante kipenzi changu, nawe pia kadadaa.
AHahahahah.... A very Merry Chrissmass you Leejay49 & Happy Year Ending 2023Ivan Stepanov mshatakiwa na nyie au bado