Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Mpaka nimestaajabu.Dr Restart Dr hyperkid Da'Vinci makaveli10 The Best Of All Time Glenn Gily Gru UMUGHAKA na Half american mmeshatakiwa heri ya Christmas na mwaka mpya??... kama bado mseme niwatakieniππ
Pole sana bro,,,ila mimi nilifosi hivo hivo japo sikuwa na kitu,but nashukuru Mungu last month nimefanikisha,,,now nafurahia tendo takatifu la ndoa na laazizi wangu,,,japo tuna madeni ya hapa na pale.Amiin mimi ni m1 wa waliokwama kuowa mwaka huu kutokana na ukata wa fedha.
I hope next year mambo yatajiset na nitaweka jiko ndani tho..
Usijali niko hapa kwajili hiyo... Merry Christmas and happiest new year 2024 my therapist π€π€Mpaka nimestaajabu.
Hakuna ambaye kanitakia. Hebu fanya jambo nijihisi kukumbukwa.
Nafikiri Mafia kuna beach kali sana ukanda huu wa east africa. Heb tuone af tuyajenge ππAmen π€π€.. Location wapi tunaasherekea safari hii
Oukay.. Kwahiyo nipange mizigo yangu kabisa πππNafikiri Mafia kuna beach kali sana ukanda huu wa east africa. Heb tuone af tuyajenge ππ
Amenππ€Merry Christmas and Happy New Year kwa wana JF wote. Mungu atubariki na atulinde sote tuvuke salama.
Tuweke malengo kama vile tutaishi miaka 1000000, na tufanye kazi kama vile tutakufa kesho.
Tumtangulize Mungu kwa kila jambo na kila hatua, hakika tutafanikiwa.
Merry Christmas pia kwako Katoto. Wishing you a safe and relaxing holiday.Usijali niko hapa kwajili hiyo... Merry Christmas and happiest new year 2024 my therapist π€π€
Hamna haja ya mizigo mingine. Kila kitu kinapatikana huko huko. We jiandae mwenyewe tuOukay.. Kwahiyo nipange mizigo yangu kabisa πππ
Thank you ππMerry Christmas pia kwako Katoto. Wishing you a safe and relaxing holiday.
Imeisha hiyoπ₯°πHamna haja ya mizigo mingine. Kila kitu kinapatikana huko huko. We jiandae mwenyewe tu
AmenNa wewe pia ubarikiwe, popote pale ulipo mambo yako yakuendee vizuri, na mwaka ujao uwe wa mafanikio makubwa kwako.
πππImeisha hiyoπ₯°π
Na kwako pia; ebu twende tukashangae tumbili manyara na ngorongoro kipindi hiki cha sikukuuMissy Gf we humtakii happy nyu iya ex shemeji π€£π€£π€£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Unamkumbuka katekista?Afu unajua kuna wenzetu tuliokuwa nao kule JLW sijawahi kuwaona tena tangu lile jukwaa limefungwa.
Au wameondoka nalo?