Amina nakwako pia mama mchungajiNawatakia heri ya Christmas na mwaka mpya wana JF wote, Mungu amalize mwaka na akaanze nanyi.
Hahaha ok let me wait mkuu😂 Bado unasoma tu mkuu
Makaveli the Don kill uminateAhsante kipenzi changu, nawe pia kadadaa.
Na huo ndio uwanaume mkuu, lazima uchukue riziki kwa lolote litakalotokea, ilimradi umalize au usawazishe kwanza yaliopo mbele yako.Pole sana bro,,,ila mimi nilifosi hivo hivo japo sikuwa na kitu,but nashukuru Mungu last month nimefanikisha,,,now nafurahia tendo takatifu la ndoa na laazizi wangu,,,japo tuna madeni ya hapa na pale.
Kwa maombi haya na ushauri huu walai unastahili kuchangiwa na wanaJF wote, ili upate angalau robo mbuzi wa kula na familia yako kwenye Christmas au mwaka mpya 😂😂Merry Christmas and Happy New Year kwa wana JF wote. Mungu atubariki na atulinde sote tuvuke salama.
Tuweke malengo kama vile tutaishi miaka 1000000, na tufanye kazi kama vile tutakufa kesho.
Tumtangulize Mungu kwa kila jambo na kila hatua, hakika tutafanikiwa.
Pa1 bingwa!Amen
Na kwako pia best wetu wa JF.Nawatakia heri ya Christmas na mwaka mpya wana JF wote, Mungu amalize mwaka na akaanze nanyi.
Angalia mkuu usije kutubu wewe 😂😂😂Hii xmas sielewi nikatulie wapi
Nna zaidi ya miaka 10 sjasherekea Xmas nikiwa home, ngoja niwaze kujilipua kurudi kimtaa mtaa tupige gambe mpaka zitubu
Asant kwa kunitia moyo mkuuUsihofu mkuu, Mungu ni wa kila mtu. Hivyo zamu yako ikifika utafanikiwa kupata kile unachohitaji ikiwemo hela na mke bora.
Insha allah 🙏💪😀😀😀insha’allah
Sasa tutazaanaje, au ndo twende mwendo wa kuchovya. Leo huyo kesho yule nk? 😂😂😂
Mungu akujaalie ndoa yako iwe na amani, upendo na mshikamano wa hali ya juu. Hapa kuna kitu nimejifunza kupitia comment yako, na nataka nilifanyie kazi haraka iwezekanavyo before ya kuwa too late.Pole sana bro,,,ila mimi nilifosi hivo hivo japo sikuwa na kitu,but nashukuru Mungu last month nimefanikisha,,,now nafurahia tendo takatifu la ndoa na laazizi wangu,,,japo tuna madeni ya hapa na pale.
Hayo ni mambo ya kiimani tu wala hayana impact kwenye maisha halisi,kwangu mimi haina maana yeyote,wala haina thamani yeyote ile.Ivan Stepanov The Icebreaker mshatakiwa na nyie au bado
Sawasawa.. halafu irudishe Ile avatar bhana,, au Basi😶😶Hayo ni mambo ya kiimani tu wala hayana impact kwenye maisha halisi,kwangu mimi haina maana yeyote,wala haina thamani yeyote ile.
[emoji23][emoji23]Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris
Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
Ok shukran mkuu.Asant kwa kunitia moyo mkuu