Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Pole sana bro,,,ila mimi nilifosi hivo hivo japo sikuwa na kitu,but nashukuru Mungu last month nimefanikisha,,,now nafurahia tendo takatifu la ndoa na laazizi wangu,,,japo tuna madeni ya hapa na pale.
Na huo ndio uwanaume mkuu, lazima uchukue riziki kwa lolote litakalotokea, ilimradi umalize au usawazishe kwanza yaliopo mbele yako.
 
Merry Christmas and Happy New Year kwa wana JF wote. Mungu atubariki na atulinde sote tuvuke salama.
Tuweke malengo kama vile tutaishi miaka 1000000, na tufanye kazi kama vile tutakufa kesho.
Tumtangulize Mungu kwa kila jambo na kila hatua, hakika tutafanikiwa.
Kwa maombi haya na ushauri huu walai unastahili kuchangiwa na wanaJF wote, ili upate angalau robo mbuzi wa kula na familia yako kwenye Christmas au mwaka mpya 😂😂
 
Pole sana bro,,,ila mimi nilifosi hivo hivo japo sikuwa na kitu,but nashukuru Mungu last month nimefanikisha,,,now nafurahia tendo takatifu la ndoa na laazizi wangu,,,japo tuna madeni ya hapa na pale.
Mungu akujaalie ndoa yako iwe na amani, upendo na mshikamano wa hali ya juu. Hapa kuna kitu nimejifunza kupitia comment yako, na nataka nilifanyie kazi haraka iwezekanavyo before ya kuwa too late.

Asant my brother
 
Namtakia heri ya sikukuu ya Krismasi mpenzi wangu mpya wa humu Jf (anajijua) pamoja na uongozi mzima wa Jamii Forums
Pia niwatakie heri ya sikukuu hiyo members wote wa Jf bila kumsahau ex wangu Mung Chris

Ujumbe kwa ex wangu:
Nimempata mwanaume anayejua mapenzi na kuhonga zaidi yako.
...."nimekusahau, nakumbuka tu lako jina......"
Uwe na siku njema huko uliko kaka.
[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom