Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
-
- #581
Aisee vijana mna vituko sana πππSasa tutazaanaje, au ndo twende mwendo wa kuchovya. Leo huyo kesho yule nk? πππ
Kipenseli πππBujibuji Simba Nyamaume,Kipenseli nawatakia sikukuu njema
Ngoja tusubiri wajuzi waje watuambie jina, maana hata na mimi nimetokea kuupenda kabla hata ya kuujua ni wimbo gani unao uzungumzia hapa mkuu ππeyo shown, lat lat lat dooo doo,
wadau nani anajua jina la huo wimbo aniambie
nimeusaka ni wa kingstoneπNgoja tusubiri wajuzi waje watuambie jina, maana hata na mimi nimetokea kuupenda kabla hata ya kuujua ni wimbo gani unao uzungumzia hapa mkuu ππ
π tajiri kasemaNawapamba mr na mrs . Leta hesabu kabla ya trh za bethidei[emoji3]
Wizo wizo uko poa?! Nakuja kula pilau la xmass ππππ
πππ nipo mke wa kakaNakuona nakuona πππ
Vipi ulifanikiwa kuupata mkuu?nimeusaka ni wa kingstoneπ
ndioVipi ulifanikiwa kuupata mkuu?
Ok mkuu, enjoy the song..ndio
Karibu my wiiWizo wizo uko poa?! Nakuja kula pilau la xmass π
Ana kazi ya kulea mapacha watatu πShemeji naomba uende na ex wako Missy Gf ππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Maneno meeengi content hakunaHabari zenu wanaJF wenzangu,
Leo nimeona bora nije na thread ya pamoja kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass.
Lakini pia kila mtu atakuwa huru ku share picha za jinsi watu walivyo celebrity, na kusherehekea mkesha wa mwaka mpya huko atapokuwa, au kuandika matukio yote yatakayotokea katika siku hizo mbili.
Binafsi napenda kutumia nafasi hii kuwatakia heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass wanaJF wote waliopo humu, haswa wale ambao wapo tayari kwa ajili ya kusherehekea sikuu hizo.
Najua kwa baadhi ya nchi (ikiwemo hii niliyopo mimi), hiki ni kipindi kigumu kwetu kuumaliza mwaka salama, lkn kwa uwezo wa Mungu wetu alie mwema, mwenye upendo na huruma ya kweli kwetu, basi tutaumaliza salama salmin.. Ameen.
Update π
Wakuu kama thread ilivyojieleza hapo juu, kwamba mbali na kutakiana heri ya mwaka mpya na sikuu ya Christmas, lkn pia tutakuwa tukileta picha, video au masimulizi mbali mbali yanayohusiana na sikuu hizi, pamoja na matukio mbali mbali ya mwisho wa mwaka yanayotokea katika nchi, au maeneo mbali mbali hapa duniani.
Mchana huu nilipokuwa nikipita maeneo ya kitongoji cha Bertram jijini Johannesburg, nilikumbana na mkasa fulan wa kutisha na kushtua, ambao umefanyika saa chache tu kabla ya mimi kupita eneo husika.
Inasemekana wazee wa "tupe chetu ubaki na roho yako" walivamia katika ofisi ya betting na kuchukua kila kitu, kisha kutokomea kusikujulikana. Ila kabla ya kufanya operation walimuomba meneja wa ofisi hiyo (muethiopia) awape chao mapema wasepe, yeye akajifanya kuleta ngonjera, ndo wazee wa "tupe chetu ubaki na roho yako" wakampa njugu kadhaa mwilini mwake (sina uhakika kama alikufa au hakufa) kisha wakachukua kwa nguvu kilichowaleta na kupotea.
Kwa mbali, ni picha ikionesha askari kadhaa na gari yao wakiwa katika eneo la tukio. Hakuna gari iliyokuwa inaruhusiwa kusogelea au kupita eneo la tukio (ukizoom utauona utepe wa askari) hivyo nlichukua hiyo 4to kwa mbali na kuendelea na mishe zangu zilizonifanya nipite eneo hilo.
Pliz msikose kuwa mnatupia picha na matukio yote yanayotokea na kufanyika sehem mbali mbali za dunia.
Asanteni
ssπ tajiri kasema
Bila connection ya kufahamika hutajwi na mtu. Sifahamiki mkuuDr Restart Dr hyperkid Da'Vinci makaveli10 The Best Of All Time Glenn Gily Gru UMUGHAKA na Half american mmeshatakiwa heri ya Christmas na mwaka mpya??... kama bado mseme niwatakieniππ
Hapo tayar umeshatajwa mkuu, au vipi?Bila connection ya kufahamika hutajwi na mtu. Sifahamiki mkuu
ππ ila Kaveli umenishinda tabia nimechekaaa, so sweet of you asante sana jamani am so delighted lakini kwenye list sikuweki ng'ooo mpaka ulipe ahadi zako zote muone kwanza.. love and hugs...Prishaz the precious sweet pea... I'm sure nipo kwenye list ya waalikwa wako on Xmas. Just a kind alert... niandalie sahani konki zenye ujazo wa kibantu maana waswahili walinena "mtoto wa masikini utamjulia kwenye matonge". π
Wish you joyful pre-xmass arrangements my lovely sisy.
-Kaveli-