Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ndivyo nlivofanya, for real total decision pays.Na huo ndio uwanaume mkuu, lazima uchukue riziki kwa lolote litakalotokea, ilimradi umalize au usawazishe kwanza yaliopo mbele yako.
Take off you pants, let me see😜thanks a lot my rival🤗, but I think you don't understand the amount of danger I possess.
Na furaha yako idumu kizazi hata kizazi,sisi wengine tukishuhudia kwenye kdrama inatoshaMimi ni mpenzi wa hizo drama, kwa kiasi kikubwa nilikuwa nadhani ni maigizo tu hadi nilipoyaishi na mimi!Nyieeeee 🙌🏾🙌🏾
Maua yake yasubiri, utafika wakati wake mtampa shem darling.
Nakubaliana na wewe katika hili kwa asilimia zote mkuu.Pamoja sana bro,,,mchakato unahitaji Total Decision coz along the way wengi watakukatisha tamaa.Lakini make sure unakuwa kitu kimoja na shemeji. Hauta shindwa kamwe. Just take risk, you will bring back your testimony as I did.
Ni kifupi cha Christmas mkuu.X- MASS ndo nini?
Amiin mkuuna wasiofika Xmas mtujuze tuwape heri walipoenda......
heriyaaxmasswote
Pa1 sana mwamba wangu, Mungu awatangulie katika kila jambo jema mtakalofanya na mkeo.Na ndivyo nlivofanya, for real total decision pays.
Si Kweli,Ni kifupi cha Christmas mkuu.
Ok mkuu ngoja ufanyike mpango wa kuirekebisha heading ya thread.Si Kweli,
X- MASS ni sherehe ya asiyejulika.
Rekebisha heading tuanzie hapo!!
Thanks sana mchumba. Jiandae kuvipokea, tarehe 24 nenda ofisi za Esther pale shekilango 😅Happy New year to youh in Advance!
Ongea na mzee anitumie bata, kuku na maparachichi.
Asante Professor!😄Thanks sana mchumba. Jiandae kuvipokea, tarehe 24 nenda ofisi za Esther pale shekilango 😅
My lethal weapon can be used as a rope to hang you, HannahTake off you pants, let me see😜
Thanks much bro,,, anza mchakato utanipa jadi ya mchangoPa1 sana mwamba wangu, Mungu awatangulie katika kila jambo jema mtakalofanya na mkeo.
Amina mkuu.Ahsante sana
Kwa hakika mimi na my wife kamwe hatutaharibu siko yako
Kwakua najua shughuli ya chaulembo wangu akiwa kitchen [emoji28]
Jiwe gizani.Merry Christmas and a happy new year The One and only king of mine
Mbona li wazi kabesa 😊 hahaaJiwe gizani.