Thread maalum kwa ajili ya kutakiana heri ya mwaka mpya na sikukuu ya X-mass, pia kuorodhesha matukio yote yatakayotokea kwenye X-Mass na mwaka mpya

Mimi ni mpenzi wa hizo drama, kwa kiasi kikubwa nilikuwa nadhani ni maigizo tu hadi nilipoyaishi na mimi!Nyieeeee πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Maua yake yasubiri, utafika wakati wake mtampa shem darling.
Na furaha yako idumu kizazi hata kizazi,sisi wengine tukishuhudia kwenye kdrama inatosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…