Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si wanamlegezea wenyewe acha aonje ladha tofauti nawee🤠🤠!We acha kunijazq shouga
Kupendwa gani anatongoza Kila mtu🤣
Nimemuacha🏃🏃🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🏃🏃Dr kakushika pabaya shouga 😂😂😂
Kamatia hapo hapo usiachie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lazima niwekwee sehemu, ba tamu ninae, afu hana haraka na maishaa.Cocastic amewekwa sehemu. Taarifa zilizotufikia hivi punde[emoji16][emoji1787][emoji2089][emoji2089]
Me hawezi kunitongoza anaogopa nitamchana si unajua niko na mwana hip hop kumchana mtu sioni shida 😂😂😂Shemu yupiiii??? Mfyuuu!!🤠!
Akikutongoza na unajua ni shem ako si ukaze mbona unalegeza???😁😁🚶🏻♀️🚶🏻♀️
Nimemuona king kaja kipande hiki 😂😂😂Mazimwi🤠🤠!
Wee ulichovuta leo unakijua mwenyewe 😁
🤣🤣🤣Mi nimemuachia vumbiSi wanamlegezea wenyewe acha aonje ladha tofauti nawee🤠🤠!
Vunjilia mbaliiii 😂😂😂Habari ndo hiyo🤣🤣
😂😂😂 mpambe niko nje ya muda😂😂😂😂😂!
Mpambe upambeni😁
Lamomy 🤣Come to me..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ntaujaza, Tar 17/12.Ameeeeeena kubwaaa!
Kumekuchaaa kumekuchaaa [emoji4]!
Sio shida zakoo ausio!!😂😂😂 mpambe niko nje ya muda
😂😂😂😂Km halieleweki vunja, tuko nje ya muda 😂😂😂
Natazamaa kwa ukaribuu sanaaa, penzi limerudi kwa wenyeweee.Miongozo leo anapita anakumwagia like queen wake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We ngadu cocastic unapitwa huku usije kunisumbua kukupa samare oooh!!!
Umeona chawa ninavyokupamba, kila mtu anataka kuwa na wewe 😂😂😂
Dr anatembea na moyo wako 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🏃🏃
Weeee sema kweli????? Nasubiria kwahamuuu shougaaanguuuu wee treinaaahhhh!😊[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ntaujaza, Tar 17/12.
Nna jambo zitoo la kulisemaa hapaaa.
Huu mwaka ni wangu wallah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona chawa ninavyokupamba, kila mtu anataka kuwa na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaka unaufunga vizuri huna gundu shouga!!
Utapendwa mpk na vichaa we subiri uone [emoji12]