Kama hutojari niwekee sikrinshoti ya hzo app maana huko store zipo nyingNatumia mbili kwenye simu yangu Redbox na Burm tv
Mkuu kwenye chrome ipo slowlyMm niko tofauti na app natumia site ya hesgoal...hakikisha unaifungulia kwny chrome browser ipo safi sana unacheki mechi yoyote iwe kwny laptop au simu.
Jamaa alikukaukia!Mkuu Tunzo nakuona upo online. Bado dk 5 tu game kuanza.
Dah mkuu samahani sana jana nilikua busy sana kivyangu, sikukumbuka kabisa hii gameMkuu Tunzo nakuona upo online. Bado dk 5 tu game kuanza.
Mkuu link za leo Chelsea vs ArsenalDah mkuu samahani sana jana nilikua busy sana kivyangu, sikukumbuka kabisa hii game
ila link zipo, Yani ungechek hata mada zangu za udalali unaona namba ukanipigia, kama utaona hapa sijarespond nichek kwa 0713415537 au 068448888
Poa poa itakuja mkuuMkuu link za leo Chelsea vs Arsenal