Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Mm niko tofauti na app natumia site ya hesgoal...hakikisha unaifungulia kwny chrome browser ipo safi sana unacheki mechi yoyote iwe kwny laptop au simu.
 
Mkuu Tunzo naomba link ya fainal ya play off kati ya Aston villa vs Derby country.
Game inaanza nuda mfupi ujao
 
Dah mkuu samahani sana jana nilikua busy sana kivyangu, sikukumbuka kabisa hii game
ila link zipo, Yani ungechek hata mada zangu za udalali unaona namba ukanipigia, kama utaona hapa sijarespond nichek kwa 0713415537 au 068448888
Mkuu link za leo Chelsea vs Arsenal
 
Back
Top Bottom