Zinapatikana wapi sasasybra
mobdro
hizo apps hazipo playstore but zina chanelz za kutosha....
kwa watumiaji wa android
Zinapatikana wapi sasa
Na Windows phone tunafanyaje mkuu. Tusaidie piaNenda Google andika mobdro
labda tumuite chief. mkwawaNa Windows phone tunafanyaje mkuu. Tusaidie pia
Kweli chief-Mkwawa tunaomba msaada kuona mpira kwenye windows phone.labda tumuite chief. mkwawa
Kweli chief-Mkwawa tunaomba msaada kuona mpira kwenye windows phone.
Vip utumikaji wa mbsybra
mobdro
hizo apps hazipo playstore but zina chanelz za kutosha....
kwa watumiaji wa android
Mtandao gani? UnatumiaVip utumikaji wa mb
Mkuu hii Sybla mbona nikiifungua inaniandikia " Can't play this link" hapo tatizo ni nini mkuu?sybra
mobdro
hizo apps hazipo playstore but zina chanelz za kutosha....
kwa watumiaji wa android
hahaha sasa mkuu unatarajia mb zisitumike kwa kiasi kikubwa? hapo ni mwendo wa unlimited tuuuuVip utumikaji wa mb
mkuu ngoja wataalamu waje binafsi sina .msaada zaidiMkuu hii Sybla mbona nikiifungua inaniandikia " Can't play this link" hapo tatizo ni nini mkuu?
Tumia mobdroHata Mimi ninakutana na Ujumbe huo wataalamu waje watuelekeze namna ya kuitumia hii sybla
Unatumia mtandao gani? Mimi nimejaribu voda,tigo,airtel. Yote tabu tupu. Ila Haloteli mwisho wa matatizo nacheki mechi mpaka raha.Jaribu Halotel hutajutiaNaona kuangalia match inakata sana bando na Internet hazijawa na uwezo kihivyo buffer time ndefu sana