Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Thread maalum ya kuweka Links za michezo za kuangalia Online hususani mpira

Natumia modbro ni balaa nimeipenda sanaa haisumbui ndani utakutana na bein, fox , bt sports na sky full raha
 
sybra
mobdro
hizo apps hazipo playstore but zina chanelz za kutosha....

kwa watumiaji wa android
Mkuu hii Sybla mbona nikiifungua inaniandikia " Can't play this link" hapo tatizo ni nini mkuu?
 
Hata Mimi ninakutana na Ujumbe huo wataalamu waje watuelekeze namna ya kuitumia hii sybla
 
Naona kuangalia match inakata sana bando na Internet hazijawa na uwezo kihivyo buffer time ndefu sana
 
Naona kuangalia match inakata sana bando na Internet hazijawa na uwezo kihivyo buffer time ndefu sana
Unatumia mtandao gani? Mimi nimejaribu voda,tigo,airtel. Yote tabu tupu. Ila Haloteli mwisho wa matatizo nacheki mechi mpaka raha.Jaribu Halotel hutajutia
 
Back
Top Bottom