Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Mvumbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
3,489
Reaction score
12,137
Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa.

Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini mapenzi yao ni kwenye pikipiki kubwa.

Na pia kuna watu japokuwa hawajakuwa na uwezo wa kuzimiliki lakini wakijaaliwa kupiga pesa basi watavuta pikipiki kubwa.

Naam ukikaa uko juu, ni nzito barabarani haziyumbi kizembe....ujazo wa maana kwenye Cc na muonekano wa kibabe pamoja na mengineyo, twende kazi...

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…