Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah sasa hii ndio inafanya niwe na hofu na bike. Ila nitakuja kununua moja one day.Sahihi, haswa upate lami mkeka! Unaweza kutamani bwege yeyote asikae mbele yako.
Inaonekana ina balaa sana na nyepesi kupita maelezoImefanya miujiza mingi katika uwanja wa Race. View attachment 1993848
Tuone picha yake mkuu
Au huu sio uzi wetu109cc Haojue.
View attachment 1995820
Mkuu unaharibu uzi [emoji28][emoji28][emoji28]109cc Haojue.
View attachment 1995820
Mkuu, magari hata sisi tunayo ila kuna mahali huwezi kufika kwa gari kutokana na njia, lakini pia kuna sehemu nyingine ni karibu haipendezi kwenda na gari na hapo ndio panahitajika pikipiki.Yaani bana kweli Duniani kuna mambo tembea uone ila hongereni zenu! mie pikipiki hata bure sithubutu halloo! tangia babangu alipo nunua zile zamani zliitwa Bomba mbili!! yaaani ni huku mbili na huku mbili bomba!
Mie kwakweli ni magari tuuu!! nilianza na Bongo friendee Mazda! opper na sasa kirkuu haka baba!! napata mpunga wa kusanya mwenyewe baada ya kazi! jamani pikipiki duuu mnisaide kwa kweli labda nitaipenda
Yaani eti jamani angalieni
Mvua yako
jua lako!
ajali zote zako! wewe ndo target!
Daladala lazima akuletee kwako ili wengi wapone!
Lory la mchanga kule chini hakuoni jamani!! utamlaumu?
kupelekewa ni wewe!
bodi wewe!
ikijikwaruza kidogo tu kunako sterling vidole huna mweee!! .for me?....I'am sorry!
kuna ka-jamaa flani ivi kafundi kako Tmk! kwa Masangati anacheza na pikipiki km paka na panya! ila sasa taya loote ni waya tupu! sababu alisha pata ajali zaidi ya mara kumi!! siku hizi simuoni, sijui kesha vuta?.... Mlioko Temeke jamani mtupe mrejesho.......
Kuna yuleee fundi Bubu wa pikipiki Mitaa ya kamunyonge ivi bado yupo kweli?! !kwa uendeshaji ule? yulee....
muhimu sanaMkuu, magari hata sisi tunayo ila kuna mahali huwezi kufika kwa gari kutokana na njia, lakini pia kuna sehemu nyingine ni karibu haipendezi kwenda na gari na hapo ndio panahitajika pikipiki.
Kuna dharura za kuharibikiwa na gari (kwa wenye gari moja) lakini pia kuna wakati unahitaji upepo wa Mungu [emoji16][emoji16]
Vuta chuma moja weka home hata kama huitembelei ipo siku itakufaa.
View attachment 1996970
Yamaha YZ125 Two Stroke, ni nyepesi Sana na Ina nguvu kwa uvutaji huo accelerator lazima ikumwage.Afande alipokamata pikipiki kubwa ya mashindano na kutaka kuondoka nayo, alionywa sana kwamba hiyo siyo Fekon [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1997502