Bechede
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 872
- 2,422
Hapo anajua akikugusa itabidi wauze basi ndio wakulipe. Ila zinafaa sana kwa safari ndefu kuliko town trips kusumbuana na daladalaBima hizo nzurii. Hata barabarani watakuheshimu[emoji23] hizi boxer zetu dereva wa daladala anakuchezea rough huyo na anajua kabisa body ni mwili wako. Ila kwa BMW hawezii