Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Bima hizo nzurii. Hata barabarani watakuheshimu[emoji23] hizi boxer zetu dereva wa daladala anakuchezea rough huyo na anajua kabisa body ni mwili wako. Ila kwa BMW hawezii
Hapo anajua akikugusa itabidi wauze basi ndio wakulipe. Ila zinafaa sana kwa safari ndefu kuliko town trips kusumbuana na daladala
 
Sijaona jini moja linaitwa Hayabusa
Huyu hapa mnyama.
20211121_082212.jpg
 
Nipo kwenye process ya kuagiza mtumba wa Honda CRF450R maana napendelea sana rough road bike kutokana na harakati zangu
Hapo itakuwa umemaliza kazi mkuu, kila la kheri.
 
Bima hizo nzurii. Hata barabarani watakuheshimu[emoji23] hizi boxer zetu dereva wa daladala anakuchezea rough huyo na anajua kabisa body ni mwili wako. Ila kwa BMW hawezii
Ooh kumbe nawe wavijua hivi vitu? One day yes ntakutembelea na KTM 1290 Super Adventure R tukazurure maporini
 
Back
Top Bottom