Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Ukiwa na Ml 45 za kibongo unamiliki huyu mnyama.
20211031_145308.jpg
 
Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa.

Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini mapenzi yao ni kwenye pikipiki kubwa.

Na pia kuna watu japokuwa hawajakuwa na uwezo wa kuzimiliki lakini wakijaaliwa kupiga pesa basi watavuta pikipiki kubwa.

Naam ukikaa uko juu, ni nzito barabarani haziyumbi kizembe....ujazo wa maana kwenye Cc na muonekano wa kibabe pamoja na mengineyo, twende kazi...

View attachment 1992900View attachment 1992901View attachment 1992902View attachment 1992903View attachment 1992904View attachment 1992905
Pikipiki ya ndoto yangu hii, hata mbovu nanunua nitatengeneza mwenyewe mwente nayo iwe kama hiyo au kubwa yenye kishabihiana nayo anione please
 
Pikipiki ya ndoto yangu hii, hata mbovu nanunua nitatengeneza mwenyewe mwente nayo iwe kama hiyo au kubwa yenye kishabihiana nayo anione please
Ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom