Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa.

Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini mapenzi yao ni kwenye pikipiki kubwa.

Na pia kuna watu japokuwa hawajakuwa na uwezo wa kuzimiliki lakini wakijaaliwa kupiga pesa basi watavuta pikipiki kubwa.

Naam ukikaa uko juu, ni nzito barabarani haziyumbi kizembe....ujazo wa maana kwenye Cc na muonekano wa kibabe pamoja na mengineyo, twende kazi...

View attachment 1992900View attachment 1992901View attachment 1992902View attachment 1992903View attachment 1992904View attachment 1992905


Wapenda pikipiki kubwa aghalabu ndio haohao wapenda "Mizigo mikubwa".
 
View attachment 2117947
Inauzwa $35000 ukiiweka road hakuna mpuuzi yeyote atayekupigia honi kwanza watakuogopa ata kukusogelea, thamani yake ni zaidi ya hivi vidude ist,crown,harrier,
Kaka ume compare na cheap dudes, compare na mi hilux, prado huko iyo pesa ni million 80
Screenshot_20220222_140709.jpg
 
Naombeni maelezo ya hii pikipiki hapa chini,je bongo zipo? Nazipataje fasta? Mahitaji ya cc 200,ukiweza nipe actual bei.

Screenshot_20211208-102911.png


Screenshot_20211126-112808.png


Screenshot_20211126-112833.png
 
BMW R1200GS or R1200gsa ni pikipiki ya kipekee sana.
⬛️FUEL INJECTION SYSTEM
⬛️SHAFT DRIVEN
⬛️LIQUID COOLED

gs ni ufipisho wa maneno ya German maana yake OFFROAD/ROAD inapiga nje ndani.
GSA ni ufipisho pia offroad and road adventure.. Masafa marefu nje ndani.

Ina Horsepower 125hp
Torque 125nm
Uzito 248kg gsa na 204 kg gs kavu
Seat heights 860mm gsa na 838 mm gs kavu
Fuel capacity 30litre gsa na 20 gs kavu
Fuel consumption 20km/l gsa na 24km/l gs kavu
Maximum speed 210 km/ hr
Ila dashboard ina 240 km/hr.
Ni hivi mzigo una tubeless tyre spoked wheel kwenye gsa na alloy wheels kwenye gs kavu
Taili kubwa kwenye gsa kuliko kavu. View attachment 2117358
Bei gani?
 
Mashine kama hii ukiwa nayo Tanzania unapata wapi mafundi wa uhakika?
Polisi Ufundi pale utapata mpaka spea Kwa Bei kitonga maana ndio wanafanya service ya bike zote kubwa za Escort. Kinondoni Kuna fundi anaitwa Panya na Magomeni Mitaa ya Mapipa Kuna wakina Juma
 
Back
Top Bottom