evonik
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 3,996
- 5,156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa.
Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini mapenzi yao ni kwenye pikipiki kubwa.
Na pia kuna watu japokuwa hawajakuwa na uwezo wa kuzimiliki lakini wakijaaliwa kupiga pesa basi watavuta pikipiki kubwa.
Naam ukikaa uko juu, ni nzito barabarani haziyumbi kizembe....ujazo wa maana kwenye Cc na muonekano wa kibabe pamoja na mengineyo, twende kazi...
View attachment 1992900View attachment 1992901View attachment 1992902View attachment 1992903View attachment 1992904View attachment 1992905
Kwa kweeli.Baaada ya kupitia huu uzi nimegundua bongo piki piki chache ila tuna baiskeli za mafuta
Honda CRF 450
8000cc..500hp hi ni rocketSemi ya matairi mawili.View attachment 2040788