Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Thread maalum ya wapenda Pikipiki kubwa

Duniani kila mtu na mapenzi yake, kuna watu hata wawe na gari ngapi lakini hawakosi pikipiki kubwa.

Kuna watu hata uwape pikipiki ndogo lakini hawatakaa nazo au watatumia kwa shida tu lakini mapenzi yao ni kwenye pikipiki kubwa.

Na pia kuna watu japokuwa hawajakuwa na uwezo wa kuzimiliki lakini wakijaaliwa kupiga pesa basi watavuta pikipiki kubwa.

Naam ukikaa uko juu, ni nzito barabarani haziyumbi kizembe....ujazo wa maana kwenye Cc na muonekano wa kibabe pamoja na mengineyo, twende kazi...

View attachment 1992900View attachment 1992901View attachment 1992902View attachment 1992903View attachment 1992904View attachment 1992905

KTM nzuri sana kuna jamaa yangu kachukua 125cc kwa extra job ya Uber eat [emoji3]
Ila ghali kiasi
 
Suzuki Hayabusa [emoji7]
IMG_3754.jpg
 
Wanazi wa Tuktuk nimejaribu kufuatilia nimegundua pikipiki inayotumia...
👉FUEL INJECTION
👉SHAFT DRIVE
👉LIQUID COOLANT

zinafaa kwa safari ndefu..

Nikabaini 2000-2021 HONDA XR650R zina sifa ya liquid coolant na speed zaidi ya 160 km/ h ikiwa na horsepower 64

Nikabaini YAMAHA tenere 700 ina horse power 74 na ina tumia LIQUID COOLANT na DIRECT FUEL INJECTION SYSTEM isipokuwa ni CHAIN DRIVEN..

kibongobongo tukae humu kushuka chini.
 
Back
Top Bottom